Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Jitahidi kupambanua mambo kama Mtumishi wa Umma Duniani kote kuna mgawanyo wa majukumi-unaposema Watumishi wajiongezee kipato kutoka wapi?? Unataka wafanye kazi sehemu zingine au wafanye biashara??? Wakifanya hivyo maana take wataharibu hizo kazi za mishahara hazita kuwa productive tena.Mimi pia ni mtumishi wa umma, na kama tupo serious basi wakati huu si wakati wakutia pressure kuongezewa mishahara, bali kuwezesha madaraja kuwa katika nafasi zake kwanza. Hii serikali inaliweza iwapo watumishi pia watakuwa na sense of humour...Watumishi wa umma waache ku duplicate activities na wawe wabunifu ili kuongeza pato la taifa bila hivyo hii miradi tuliyoianza inaweza shindwa kuendelea na tukajikuta tumepata hasara mara mbili, kwakujifunga mikanda miaka yote mitano kisha tusifikie ile target ambayo ingefikiwa itaongeza uchumi zaidi ya mara kumi...Tukifikia target mishahara itaongezeka mara hata 10 kwakua miundombinu ya nchi itakuwa imekamilika...
Tatizo ni hata kwa ambayo imeshakamilika bado haijatendewa haki na watumishi hao hao wa umma, haiongezi tija...Soko la Morogoro kwa mfano, ndani ya mwezi moja limesha kuwa chafu, sakafu ni kama imejengwa 5 years ago na hapo tuna mabwana afya etc...Hivi huyo unamwongezea mshahara kwa lipi? Masinki yameshaanza kubadili rangi, for serious?
Mie nilitegemea ongezeko la ajira kwakua usafi ungefanywa kwa status ya jengo na lina implications kwenye uchumi, wauzaji wana uniform hiyo ingeongeza ajira kwa mafundi cherehani; mazao yapo kwenye angalau packages zenye kueleweka locally made na wasuka mikeka etc...Lakini wapi, no creativity watu wamehamia kwenye nyumba bora wakiwa na tabia zilezile za matopeni...Basi wangewapiga hata semina kidogo, what was a need ya kujenga hilo jengo? Kama watu wako vilevile biashara zipo vilevile kisha eti mtumishi anawaza kuongezewa mshahara, kweli watumishi wenzangu?
Hivi tunajithamini kweli? Itatoka wapi hiyo pesa ya nyongeza kama wewe hujaongeza
Miradi ya Serikali ni endelevu,vizazi vyetu vitakufa na kuacha miradi ikiendelea,cha msingi ni kubalance vitu vya kufanya kwa kuweka vipaumbele huwezi kukamilisha kila kitu kwa awamu moja na ndio maana kuna kupokezana
ufanisi?