Uchaguzi 2020 Mtihani mkubwa ulio mbele ya CHADEMA ni kupata fedha za kampeni za Urais. Chama hakina fedha na Mgombea hana fedha


utahangaika sana mlidhani mngeuwa upinzani,kama watz waliweza kuwachangia walipobambikwa kesi ndani ya masaa tu zikapatikana,vipi ikipigwa harambee ya kuchangia ukombozi wao wataacha vipi kuchanga?Pesa sio tatizo zipo tele ndani na nje ya nchi.Hata matajiri wa ndani mliowaumiza kuwakomoa eti wawe masikini utadhani nyie ndo mnagawa riziki watachanga tu.
Hakuna pa kuchomokea mbabe wa ushindi wenu Mungu alimpenda zaidi amepumzika nyumba ya milele lupaso,.
 
Mashabiki wake watachanga mkuu.
 
DAWA YA JIWE NI LISU,
kushindana na mtu primitive yafaa uwe primitive zaidi
 

Wewe umejuaje kama hawana pesa?
 
Mleta mada acha kiherehere kwani wewe ndio mweka hazina wa Chadema. Bogus kabisa.
 

gazeti ambalo halitaweka front page ya LISSU jua hilo haliuzi au MACCM walinunue Jumla lote.
 
ccm mnategemea mawe ya Laizer na fedha mliyowadhulumu wafanyabiashara. CHADEMA ni ya wananchi ndo watakaoichagua wala hawahitaji nguvu
 
kwani mgombea asingekuwa Lisu fedha zingetoka wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…