Mtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.
Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA.
Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya logistics, misafara ya mgombea kuzunguka na waandishi wa habari, kununua airtime kwenye vyombo vya habari, kununua front pages za magazeti ili habari za mgombea ziandikwe na front pages ni gharama ya kufa mtu.
Kupata pesa za kampeni ni challenge kubwa mno inayoikabili CHADEMA.
utahangaika sana mlidhani mngeuwa upinzani,kama watz waliweza kuwachangia walipobambikwa kesi ndani ya masaa tu zikapatikana,vipi ikipigwa harambee ya kuchangia ukombozi wao wataacha vipi kuchanga?Pesa sio tatizo zipo tele ndani na nje ya nchi.Hata matajiri wa ndani mliowaumiza kuwakomoa eti wawe masikini utadhani nyie ndo mnagawa riziki watachanga tu.
Hakuna pa kuchomokea mbabe wa ushindi wenu Mungu alimpenda zaidi amepumzika nyumba ya milele lupaso,.