Uchaguzi 2020 Mtihani mkubwa ulio mbele ya CHADEMA ni kupata fedha za kampeni za Urais. Chama hakina fedha na Mgombea hana fedha

Pimbi kweli wewe,mimi tu peke yangu nina uwezo wa kutoa hela yote za kampeni ya chadema bila wasiwasi.
 

Hisia za kuwa walionewa hujazisemea. Kwa nini hisia hizo?
 
Hisia za kuwa walionewa hujazisemea. Kwa nini hisia hizo?

..hisia kwamba walionewa zipo.

..lakini Babu Seya na Papii walikwenda mpaka mahakama ya Rufaa.

..pia walitetewa na Mawakili maarufu wenye uwezo mzuri.

..hata walipopeleka shauri lao mahakama ya afrika mashariki bado ilithibitika kwamba mahakama za Tz zilitenda haki.

..sasa kama unadai walionewa basi suluhisho ilikuwa ni kuwaachia huru, kuwafutia rekodi mbaya, kuwalipa fidia, na kuwaadhibu waliowaonea.

..kusema tu walionewa bila kuwasafisha bado unakuwa hujawatendea haki.
 
Kichwa kimejaza Uto..k huna akili wewe! Kwa taarifa yako tutachanga sisi wananchi tunaomtuma kazi ya kumwondoa mkoloni mweusi! Hivi unafikri raia hatutajitokeza kununua hizo fonti fedi? Na kwa taarifa yako tume huwa inatoa pia ruzuku kwa ajili ya kampeni za wagombea Urais, unafikri hizo bilioni 310 alizosema mwenyekiti wa tume zinaishia wapi?
 
ha ha ha ha !!! mtachanga za tigo rusha ? Ndio utegemee kuendeshea kampeni ya uraisi? uwii mbavu zangu mimi wacha nicheke
Kwa uchaguzi huu wa mwaka huu, haki ya nani mpaka mjambe cheche!
 
Tutamchangia buku buku mpaka itoshe
 
Hahahaha kuna kitu ningesema sema kwakua ni Verified User ngoja nikae kimya ila nitakisema kwa muda muafaka!
 

Mambo mengine busara hulazimika itumike, hapa hamsini kwa hamsini ilikuwa ndiyo busara.
 
Mambo mengine busara hulazimika itumike, hapa hamsini kwa hamsini ilikuwa ndiyo busara.

..sasa kumkaribisha a pedophile[ mlawiti watoto] ikulu na kumtangaza ktk vyombo vya habari ni busara kweli? dunia inatuona waTz ni watu wa aina gani?
 
..sasa kumkaribisha a pedophile[ mlawiti watoto] ikulu na kumtangaza ktk vyombo vya habari ni busara kweli? dunia inatuona waTz ni watu wa aina gani?

Wewe na uwe wa kwanza kumrushia jiwe.
 
Wewe unaumia nini mkuu matatizo ya mbaya wenu? Furahi CDM hawana pesa!
 
wewe ndo mtunza hazina ya chama au ni nani hasa
 
Pls fafanua kidogo boss. Tuseme walikuwa wasimteue huyo waliye mteua ili wapate msaada au aliye achwa angeteuliwa alikuwa na pesa zake mwenyewe alizotaka kuzimwaga. Sasa kaachwa amezira? All in all, nadhani hata akisimama pale ufipa na kuomba kura, hizo za ufipa bado zitamwinua kiasi. Hebu tutulie hadi tuufikie na kuuona huo mto ndo tufikiri namna ya kuvuka. Huenda pingamizi ikapita tukakosa wa kupingana naye
 
Hahahaha kuna kitu ningesema sema kwakua ni Verified User ngoja nikae kimya ila nitakisema kwa muda muafaka!

Kuna ushabiki na uhalisi, Lowassa alitumia zaidi billion 80, na bado ilibidi auze nyuma ya masaki katikati ya kampeni , Mbowe alifanya Harambee mara nne kipindi cha Kampeni na chama muda huu kimepigika. kwani swali ni zuri labda tuu kaliuliza kipindi kuna mihemuko ya Lissu na hadharani. siku njema.
 
Kwani front pages za magazeti na waandishi wa habari wananunuliwa mkuu? Hawalipwi na waajiri wao? Ama kweli CCM mnanuka rushwa hadi huruma aisee!!!
 

WANANCHI KWA MIAKA 10 WALIAMINISHWA NA CHADEMA KUWA WAFUNGWA WA KISIASA, ALIONDOA DARAJA LA WAPINZANI KUPATA POINTI YA KUSEMA.
ALIWAFURAHISHA WAPINZANI ILA BAHATI MBAYA WAPINZANI WENYEWE NI KUPINDUKA PINDUKA TUU. LOWASSA FISADI LEO LAKINI KESHO ANAPIGIWA DEKI NA KUTANDIKIWA KHANGA APITE. AHHAAAAAAAA CHADOMO CHAMA CHA MBOWE..
 

..hilo nalo tatizo.

..Ni makosa kwa Raisi kuchezea sheria ili aweze "kuzima" hoja / "pointi" za wapinzani.

..CCM na CDM hawawezi kuacha kurushiana vijembe wakati wote wa uhai wao.

..Raisi anatakiwa atatue changamoto ambazo aliahidi kuzitatua, the rest awaachie wapigakura waamue.

..lakini hili la kumpokea mlawiti watoto Ikulu, kupiga naye picha na kuzirusha kwenye mtandao ili dunia nzima ione, as if ni jambo la kifahari, inafikirisha sana.
 
kwani polepole anasemaje..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…