Mtihani: Sina kazi ila nimepata fursa ya kutengeneza filamu za ngono nje ya nchi

Mtihani: Sina kazi ila nimepata fursa ya kutengeneza filamu za ngono nje ya nchi

nenda ila jamaa wana lipa fresh kuanzia dolla 200 kama ukiwa ndezi ila kama uko poa kuanzia 450 kwa siku sasa uende wakati wanalipa check ndo unaingia mzigoni. njo kwanza inbox nikushauri Chuda Kashara
 
Ni kweli maisha ni magumu ila sijaridhia njia unayotaka kuchukua. Kuna njia nyingi sana za kukabiliana na maisha pasipo kumuudhi mungu. Binafsi kama si muumini wa ufuska pambana upate passport ya kuvuka mpaka na huko kapigane kusaka maisha. Epuka sana kuutumia mwili wako vibaya. Duh unasikitisha sana ila hamna namna
 
[emoji32][emoji32][emoji32]
Mpaka umefika hatua ya kukubaliwa ulikua wapi kuomba ushauri? Itakua uliwatumia na picha zako ukiwa uchi! Adi hapo ushajishusha saana.
Usifikirie kuhusu directors tu! Je unadhani hiyo kazi utaifanya mpaka uzeeni?
Watoto wako watakuonaje pamoja na ndugu jamaa na marafiki? Wazazi wako na familia yako watafikiriwajwe na jamii. Husifikirie leo tu! Hizo kitu zinaingia kwenye internet na kusambaa dunia nzima.
Hiyo kazi ni haramu, dini na jamii haiifurahii.
 
Naipenda sana JF yaani hata kama ulikuwa na stress zako ukiingia humu unakuwa muruaaa! hala hala Ngosha asije akatuzimia data wakati wa saa za kazi akijua tunatumia muda wa kazi huku JF
 
heri kufa maskini kuliko kijifedhehesha kiasi hiki,
tamaa kiti kibaya sana, believe me or not, hiyo michezo ni kama bangi, akili huwa inaharibika huwezi kuacha ukawa na amani, na ni njia murua kabisa ya kuwa Gay kutokana na vitu utakavyokuwa unaviona huko.

siwezi kukusapoti katika hili, hata kama ni ugumu wa maisha hatujafikia hatua hii, wanaume huwa tuna "die hard" na tai shingoni . . .
 
Mkuu hili jambo ni la kweli kabisa Kaka.Wamedai ni ajira kama zilivyo nyingine.Pia pale ubalozini kuna Mama mmoja alinichunguza kutaka kujua nakwenda kufanya nini huko na nilimtonya bila kuficha.Basi yeye alinijulisha na kunihakikishia kabisa bro.
Jamaa hajapinga, bali amekupa angalizo kuwa angalia usijekugeuzwa
 
sidhani kama jicho litanusurika, ni dhahiri shahiri kwamba utafumuliwa malinda, mishe imekaa kihalifu sana, ni uchafu ambao utaujutia maisha yako yote
 
Hicho kitu hakiwezi kutokea.Kabla ya kufanya chochote unasaini mkataba wa kitu unachotaka kufanya na kuonesha vigezo vyako.Vile vile kunakupewa kibali cha kisheria ili kuepuka ukiukwaji.
sijui una omba ushauri wa nini naona kama unajua vitu vingi.
ushawahi kusikia mkataba ukivunjika?

vipi kama ukifika (kwa gharama zao) ukakataa wanachokuelekeza (kinyume na mkataba) wakaamua kukuacha bila msaada( kitu ambacho hakiwezi kutokea)

kiufupi ukifika kule kwa kuwategemea wao lazma ukubali watakachotaka wao. no other option, iwe kwa hiari yako au kwa kutokupenda.
 
na mm nipe hiyo site nijiunge tuende wote[emoji12][emoji12][emoji12]
 
Back
Top Bottom