jandekuka
Member
- Feb 9, 2014
- 54
- 55
Hahahahaha...Wasalam wana wa jukwaa.
Ndugu zangu yapata siku kadhaa sasa nawaya waya nisijue la kufanya. Kwa muda mrefu nimeishi bila kazi ya maana zaidi ya kubeba zege kwenye makampuni ya ujenzi ya kichina yenye manyanyaso lukuki.
Elimu yangu ni kidato cha sita, sikuweza kuendelea zaidi kwa sababu za kiuchumi. Sasa katika kuperuzi peruzi kwenye mitandao nimekutana na site nyingi zinazojihusisha na utengenezaji wa hizi filamu za kikubwa(XXX VIDEOS) zikihitaji wahusika (male perfomers) wa kushiriki katika utengenezaji wa hizo filamu.
Basi nikaona kama ni moja ya njia ya kutokea, nikajaza viambata vilivyokuwepo kwenye sites zao halafu nikatuma, nimetuma kwenye makampuni nane.Kampuni tatu zimenikubali, moja wamenikataa sababu ya umri kuwa chini ya miaka 30, na mengine hayajajibu.
Kuna kampuni walionikubali moja kwa moja na tuliwasiliana kwa njia kadhaa zikiwemo za e-mail na WhatsApp, wapo kwenye nchi yenye ubalozi wao hapa TZ, waliniambia nikiwa tayari niende kwenye ubalozi wao ili kushuulikia taratibu zote za usafiri na gharama zote ni juu yao.Nilipofika ubalozini nilikuta kweli hao jamaa wapo serious kwa sababu taarifa zangu zilikuwepo kwenye ofisi za balozi. Vipimo vya afya, majaribio, malipo na mkataba ndizo hatua zinazofuata.
Wadau wa MMU, kiukweli nakuwa na kusitasita juu ya kubong'oa wanawake mbele ya kamera na madirector kibao lakini nikipiga picha haya maisha magumu ninayopitia naona kama hii ni last chance adimu ya kutokea.
Naombeni muwe watulivu na kunipa michango yenu ya kimawazo juu ya hili jambo nami nijue pakuchagua.
Mkuu, naweka uungwana pembeni nazungumza ya moyoni, kuna nyakati nikiangalia porno natamani nizame ndani ya kideo niwe mimi nafaidi, yaani kuna wakati naweka kipengele ninachokipenda makusudi ili mwenza aone ninavyotamani mavitu na mastaili yanayoonyeshwa kideoni... Dah lakini haiwezekani shauri ya umbile, utundu, udini, na kadhalika naishia kula kwa macho tuu...
Nakuonea wivu mkuu, kafaidi bwana ila jiandae kisaikolojia kurudi bongo na begi la mgongoni lililojaa vikorokoro ambavyo bongo havipo, halafu ukifika hapa unaanza moja, usitegemee kuishi Hollywood, mshahara wako ndio maisha yako, utakachotengeneza ndicho hicho hicho kitakachokutosha kulipa bills za maisha ya mbele.. Labda uwe mjanja usome part time, ufanye kazi mbili, na upate ndugu mwaminifu bongo akununulie kiwanja, akujengee taratibu huku akikuonyesha evidence ya alichokifanya na wewe ukimtuma mtu wa tatu kushuhudia..
Narudi kwenye uungwana sasa...
Si jambo zuri hata kidogo, hasa kama picha zako zitapenya huku kwetu na ukute watu wanakujua, ndugu na wazazi watachekwa na kunyooshewa vidole kisa wewe..
Anyway maisha magumu ni changamoto sana, anayejua ugumu wa maisha na shida watu wanazopitia hatakubeza, badala yake atakushauri..
Kale raha mkuu huku ukijua kuna karaha ndani yake