Mtihani: Sina kazi ila nimepata fursa ya kutengeneza filamu za ngono nje ya nchi

Hahahahaha...

Mkuu, naweka uungwana pembeni nazungumza ya moyoni, kuna nyakati nikiangalia porno natamani nizame ndani ya kideo niwe mimi nafaidi, yaani kuna wakati naweka kipengele ninachokipenda makusudi ili mwenza aone ninavyotamani mavitu na mastaili yanayoonyeshwa kideoni... Dah lakini haiwezekani shauri ya umbile, utundu, udini, na kadhalika naishia kula kwa macho tuu...

Nakuonea wivu mkuu, kafaidi bwana ila jiandae kisaikolojia kurudi bongo na begi la mgongoni lililojaa vikorokoro ambavyo bongo havipo, halafu ukifika hapa unaanza moja, usitegemee kuishi Hollywood, mshahara wako ndio maisha yako, utakachotengeneza ndicho hicho hicho kitakachokutosha kulipa bills za maisha ya mbele.. Labda uwe mjanja usome part time, ufanye kazi mbili, na upate ndugu mwaminifu bongo akununulie kiwanja, akujengee taratibu huku akikuonyesha evidence ya alichokifanya na wewe ukimtuma mtu wa tatu kushuhudia..


Narudi kwenye uungwana sasa...
Si jambo zuri hata kidogo, hasa kama picha zako zitapenya huku kwetu na ukute watu wanakujua, ndugu na wazazi watachekwa na kunyooshewa vidole kisa wewe..

Anyway maisha magumu ni changamoto sana, anayejua ugumu wa maisha na shida watu wanazopitia hatakubeza, badala yake atakushauri..

Kale raha mkuu huku ukijua kuna karaha ndani yake
 
Faza hii kazi haina raha kama unavo hisi, kuigiza zile muvi siyo uhalisia wa kupata raha.Mimi naangalia namna ya kutokea,,,,nikimake mula naangalia mambo mengine yenye faida zaidi ili kumake life man.Pia wazazi ni wazee mno na wapo kijijini, sina ndugu wa kuniona huku maana wanaonijua hawana umeme sembuse internet Mkuu.
 
Yani umeenda kwanza Ubalozini ukakuta taarifa zao? Bila ya kuwa na invitation letter!?? Utakua unatania...
 
Ha ha ha kumbe ushafanya maamuzi, haya nenda hata wakikula tigo itakuwa ajali kazini. Haramu haiwekwi hadharani
 
Yani umeenda kwanza Ubalozini ukakuta taarifa zao? Bila ya kuwa na invitation letter!?? Utakua unatania...
Kwenye uzi sijasema kama tulifanya mawasiliano? utakuwa hujasoma habari yote.
 
Kama moyo unasita kufanya jambo acha
 
Hata kama ndio umaskini. Bora nikalime kuliko kujiunga na mtandao wa sodoma na gomora huo. Loo man embu achana na hiyo hela ya haraka ina madhara. Lima hata mchicha upate ridhiki
 
Hata kama ndio umaskini. Bora nikalime kuliko kujiunga na mtandao wa sodoma na gomora huo. Loo man embu achana na hiyo hela ya haraka ina madhara. Lima hata mchicha upate ridhiki
Asante bro, ila sii kila mtu atakula kwa kulima mchicha mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…