Mtihani: Sina kazi ila nimepata fursa ya kutengeneza filamu za ngono nje ya nchi

Asante kwa maoni yako mkuu, haiwezekani watu wote tukawa na mfanano wa maisha.
 
Ukata wa pesa +ukata wa k.. mh! Hapa ni kama umeona mwujiza aisee!!
Mkuu kusema kweli ukipata kitu unachotamani unakuwa siyo na uhakika, kuna kusitasita.Ila yote maisha tu hamna namna.
 
Kaka usijaribu hata kidogo, acha kabisa, hizo Pesa hatakupa, huwezi kuwashitaki popote, coz hiyo kazi ni illegal katika nchi nyingi.
Hapa kwetu ni illegal but kwao ni kazi kama kazi nyingine Man.Hadi kwenye mifuko ya kijamii wanaunganishwa.
 
Asante boss kwa ushauri wako, nitaufanyia kazi kama ikiwezekana.
 
nenda nenda mkuu, nadhan mpaka unafikia kujaza taarifa zao maana ake umekubaliana nao,, ukifanikiwa tushituane kaka
 
shoo zabongo zimekushinda umeamua uzifate zaumajuu, umepiga michezo yahisani sasa umepanda daraja unaenda kucheza michezo yakulipwa, hongera!
 
Cc Lizaboni Simiyu Yetu MOTOCHINI na maccm mengine yamfikishie ujumbe kiongozi wao
 
shoo zabongo zimekushinda umeamua uzifate zaumajuu, umepiga michezo yahisani sasa umepanda daraja unaenda kucheza michezo yakulipwa, hongera!
Kama soccer la kulipwa eeh? we ni GREAT THINKER Man.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…