Mtihani: Sina kazi ila nimepata fursa ya kutengeneza filamu za ngono nje ya nchi

Mtihani: Sina kazi ila nimepata fursa ya kutengeneza filamu za ngono nje ya nchi

Usije ukakuta ni wewe ndo unaenda bong'olewa. Kukosa yote hayo na ugumu wa maisha na kila kitu Ni mtihani au kipimo toka kwa Muumba wako, hicho kipato ulichokuwa unapata kwenye zege weka weka akiba uvumbue biashara nyengine nadani kwa miezi michace tu ungeweza hata kufungua genge la kuuza matunda na mbogamboga kwa kuanzia tu, TATIZO UNA HARAKA NA MAISHA , Unataka uwe na gari na nyumba za kifahari kwa haraka haraka hata 30 bado tayari umekata tamaa, KUMBUKA MUNGU ANAKUONA, KAMA UNAHISI SHETANI NDO MSAADA KWAKO HAYA KILA LA KHERI.
Asante kwa maoni yako mkuu, haiwezekani watu wote tukawa na mfanano wa maisha.
 
Kaka usijaribu hata kidogo, acha kabisa, hizo Pesa hatakupa, huwezi kuwashitaki popote, coz hiyo kazi ni illegal katika nchi nyingi.
Hapa kwetu ni illegal but kwao ni kazi kama kazi nyingine Man.Hadi kwenye mifuko ya kijamii wanaunganishwa.
 
Walikupima size ya dushe?

utakuwa tayari kutumia zile dawa zao au sindano za kusimamisha dushe muda mrefu na kukupa stamina?

Achana na huo ushetani mkuu, bora twende zetu kijijini kwa Babu tukalime tutatoka tu.

Ubaya wa kucheza hizo film ni kwamba itafika mahali utakuwa umeshapata pesa unazozihitaji sasa ila utatamani video zote za sex ulizocheza zifutwe au sura yako isionekane ILA HAITOWEZEKANA TENA, kwasababu watu watakuwa wameshahifadhi akilini na hata kwenye devices zao kama computer na mitandaoni forever.

Mkumbuke Muumba wako siku za Ujana wako.
Asante boss kwa ushauri wako, nitaufanyia kazi kama ikiwezekana.
 
nenda nenda mkuu, nadhan mpaka unafikia kujaza taarifa zao maana ake umekubaliana nao,, ukifanikiwa tushituane kaka
 
shoo zabongo zimekushinda umeamua uzifate zaumajuu, umepiga michezo yahisani sasa umepanda daraja unaenda kucheza michezo yakulipwa, hongera!
 
Hivi ajira zimekua ngumu kias hiki...baba jpm ona sasa vijana hawa..hutangaz lin mambo ya ajira yatakua safi mmekaa kimya kama hampo vile, mmebaki kuzindua mijengo tu sijui wanafanya kaz nan huko kwenye hio mijengo..mnasema tujiajir iko wap.hio mikopo..ukienda benk unaambiwa una hat ya nyumba ama gari ..vijana wafanyaje sasa...ndo kama.hivi sasa
Cc Lizaboni Simiyu Yetu MOTOCHINI na maccm mengine yamfikishie ujumbe kiongozi wao
 
shoo zabongo zimekushinda umeamua uzifate zaumajuu, umepiga michezo yahisani sasa umepanda daraja unaenda kucheza michezo yakulipwa, hongera!
Kama soccer la kulipwa eeh? we ni GREAT THINKER Man.
 
Back
Top Bottom