Chuda Kashara
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 849
- 555
- Thread starter
- #381
Hata huko hakuna pesa mteremko, kila kitu ni kupambana.Pambana kijana usipende pesa za mteremko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata huko hakuna pesa mteremko, kila kitu ni kupambana.Pambana kijana usipende pesa za mteremko
Asante kwa maoni yako mkuu, haiwezekani watu wote tukawa na mfanano wa maisha.Usije ukakuta ni wewe ndo unaenda bong'olewa. Kukosa yote hayo na ugumu wa maisha na kila kitu Ni mtihani au kipimo toka kwa Muumba wako, hicho kipato ulichokuwa unapata kwenye zege weka weka akiba uvumbue biashara nyengine nadani kwa miezi michace tu ungeweza hata kufungua genge la kuuza matunda na mbogamboga kwa kuanzia tu, TATIZO UNA HARAKA NA MAISHA , Unataka uwe na gari na nyumba za kifahari kwa haraka haraka hata 30 bado tayari umekata tamaa, KUMBUKA MUNGU ANAKUONA, KAMA UNAHISI SHETANI NDO MSAADA KWAKO HAYA KILA LA KHERI.
Nashukuru mkuu wangu.Ushauri mzuri, Sana, kijana chukua ushauri WA huyu
Haina noma Kaka.Ushauri mzuri, Sana, kijana chukua ushauri WA huyu
Mkuu kusema kweli ukipata kitu unachotamani unakuwa siyo na uhakika, kuna kusitasita.Ila yote maisha tu hamna namna.Ukata wa pesa +ukata wa k.. mh! Hapa ni kama umeona mwujiza aisee!!
Hapa kwetu ni illegal but kwao ni kazi kama kazi nyingine Man.Hadi kwenye mifuko ya kijamii wanaunganishwa.Kaka usijaribu hata kidogo, acha kabisa, hizo Pesa hatakupa, huwezi kuwashitaki popote, coz hiyo kazi ni illegal katika nchi nyingi.
Acha kabisa Man.Inahitaji moyo na uso wa mbuzi juu.Hahaha natamani kujua interview yake ilikuwaje jamaaa.....aisee kachukue nafasi ya Mandingo jomba
Asante boss kwa ushauri wako, nitaufanyia kazi kama ikiwezekana.Walikupima size ya dushe?
utakuwa tayari kutumia zile dawa zao au sindano za kusimamisha dushe muda mrefu na kukupa stamina?
Achana na huo ushetani mkuu, bora twende zetu kijijini kwa Babu tukalime tutatoka tu.
Ubaya wa kucheza hizo film ni kwamba itafika mahali utakuwa umeshapata pesa unazozihitaji sasa ila utatamani video zote za sex ulizocheza zifutwe au sura yako isionekane ILA HAITOWEZEKANA TENA, kwasababu watu watakuwa wameshahifadhi akilini na hata kwenye devices zao kama computer na mitandaoni forever.
Mkumbuke Muumba wako siku za Ujana wako.
Cc Lizaboni Simiyu Yetu MOTOCHINI na maccm mengine yamfikishie ujumbe kiongozi waoHivi ajira zimekua ngumu kias hiki...baba jpm ona sasa vijana hawa..hutangaz lin mambo ya ajira yatakua safi mmekaa kimya kama hampo vile, mmebaki kuzindua mijengo tu sijui wanafanya kaz nan huko kwenye hio mijengo..mnasema tujiajir iko wap.hio mikopo..ukienda benk unaambiwa una hat ya nyumba ama gari ..vijana wafanyaje sasa...ndo kama.hivi sasa
Mpaka umejua yote haya inaonyesha na wewe ulikua interested!Nasomaga umu kuwa wanalipwa dollar 100 au 150 sasa sielewi inakua kwenye mchanganuo upi
sawaMpaka umejua yote haya inaonyesha na wewe ulikua interested!
Kama soccer la kulipwa eeh? we ni GREAT THINKER Man.shoo zabongo zimekushinda umeamua uzifate zaumajuu, umepiga michezo yahisani sasa umepanda daraja unaenda kucheza michezo yakulipwa, hongera!
Hazijaanza leo mkuu, ni tangu zamani.Naona Kupatwa Kwa Ngono!
Nahisi.Mpaka umejua yote haya inaonyesha na wewe ulikua interested!
Kuna mwingine anaitwa 'ALL THE TIME' simpendi ila ndio hivyo hakuna sehemu ya kutemea sumu.