Mtihani: Sina kazi ila nimepata fursa ya kutengeneza filamu za ngono nje ya nchi

Mtihani: Sina kazi ila nimepata fursa ya kutengeneza filamu za ngono nje ya nchi

S
Wasalam wana wa jukwaa.

Ndugu zangu yapata siku kadhaa sasa nawaya waya nisijue la kufanya. Kwa muda mrefu nimeishi bila kazi ya maana zaidi ya kubeba zege kwenye makampuni ya ujenzi ya kichina yenye manyanyaso lukuki.

Elimu yangu ni kidato cha sita, sikuweza kuendelea zaidi kwa sababu za kiuchumi. Sasa katika kuperuzi peruzi kwenye mitandao nimekutana na site nyingi zinazojihusisha na utengenezaji wa hizi filamu za kikubwa(XXX VIDEOS) zikihitaji wahusika (male perfomers) wa kushiriki katika utengenezaji wa hizo filamu.

Basi nikaona kama ni moja ya njia ya kutokea, nikajaza viambata vilivyokuwepo kwenye sites zao halafu nikatuma, nimetuma kwenye makampuni nane.Kampuni tatu zimenikubali, moja wamenikataa sababu ya umri kuwa chini ya miaka 30, na mengine hayajajibu.

Kuna kampuni walionikubali moja kwa moja na tuliwasiliana kwa njia kadhaa zikiwemo za e-mail na WhatsApp, wapo kwenye nchi yenye ubalozi wao hapa TZ, waliniambia nikiwa tayari niende kwenye ubalozi wao ili kushuulikia taratibu zote za usafiri na gharama zote ni juu yao.Nilipofika ubalozini nilikuta kweli hao jamaa wapo serious kwa sababu taarifa zangu zilikuwepo kwenye ofisi za balozi. Vipimo vya afya, majaribio, malipo na mkataba ndizo hatua zinazofuata.

Wadau wa MMU, kiukweli nakuwa na kusitasita juu ya kubong'oa wanawake mbele ya kamera na madirector kibao lakini nikipiga picha haya maisha magumu ninayopitia naona kama hii ni last chance adimu ya kutokea.

Naombeni muwe watulivu na kunipa michango yenu ya kimawazo juu ya hili jambo nami nijue pakuchagua.
Mmm,sikushauri kabisa kwenda huko.Dah,mbaya sana.Ndugu wakijua ni aibu sana.Na Mungu unamuweka wapi ndugu.Yaani sasa wewe unakuwa material ya kuzimu?!Hapana,achana na mawazo hayo.Ipo siku utapata a decent job.Endelea tu na zege kijana.
 
Njia iendayo mbinguni ni nyembamba kwa kweli........huu mtego tu wa kuchagua mali za anasa hiyo kuliko njia ngumu ya kula kwa jasho lahalali.....uamuzi wako ila pia kila mtu ana maamuxi yake...mi ningekuambia tu hangaika na life la humu humu bongo
 
Digital age.....ila kama utumea vile...sema jamaa ushafanya maamuzi hapa tunachangamsha tu thread
 
Jihadhari na masharti nafuu ya kuongezewa pesa na we ukaona si tatizo kuwa GAY tena wa kuolewa
 
achana huo mchezo tafuta biashara yakufanya Fanya utatoka tu ndugu.
Achana na umagharibi.
Life is an experiment,
You can make the better.
ACHA KABISAAAAAAAAA.
 
Hii ipo nje na upeo wangu. Waache wafu wazike wafu wao
 
Ile factor ya kua unaenda kisa maisha magumu naona ina matundu kwa kua;
Porn actors wanaokua maarufu ni wachache kushinda actresses hii inapelekea hata malipo ya actors kua kidogo kushinda actresses.

Hata kama una bonge la uume kushinda yule anaejulikana mkataba ulioingia unaweza usikuruhusu kutajirika unless ungekua freelancer. Kumilikiwa na lebo kunamaanisha malipo atakulipa mlivyokubaliana unlike ungekua freelancer.

Kuteka soko kutamaanisha demand ipande hivyo utalipwa frequently kutokana na scenes zako now what if ukashindwa kuteka soko, na kuliteka means uwe unatumika mara kwa mara at the mean tym luk at ur dick becoming more and more weak unless utumie dawa ambazo zina madhara pia.

Sijawahi kusikia porn actor tajiri zaidi ya waanzilishi wa enzi zile kwa kua sasa hivi porn ipo kiganjani kwako zamani ilikua lazima mtu anunue jarida au dvd ili aone utupu wa mwenzie, na pia unakua upo kinyume na maadili hivyo hutakuja kupata real deal hata ya kutangaza bidhaa aliefanikiwa hili ni mmoja tu naye ni porn actress tena watu wakakosoa kwanini apewe deal ya kutangaza viatu wakati yupo katika tasnia ile.

Kufanikiwa katika hii tasnia ni kua mbunifu na kuspecialize katika kitu fulani huku ukijitengenezea fan base, wengine huamua kujiongeza makalio, wengine huamua kua wazuri katika blow job wengine huamua kufanya anal sex ili kubaki katika game coz every day ni new talent inaibuka na watu wanaichoka sura ile ile miguno ile ile watu wanataka kitu kipya na ni rahisi kuchokwa coz ndani ya miezi miwili ushacheza muvi 27 itabidi ubuni kitu kipya hapa ndo utajikuta unamega mashoga ambao ulisema huwataki.

Hoja yangu kuu ni kua "Kama unaenda kwa kuona maisha magumu porn acting (kwa kusoma interview na hali halisi) haina pesa ambayo watu wanaifikiria (wewe unaifikiria) ila kama unaipenda tu kazi ni kwako"
 
Kutoka kwenye "Terms and Rules" hapo juu

See 9 and 17

SHERIA NA KANUNI ZA JAMIIFORUMS

Tafadhali jiepushe na mambo yafuatayo:

1. Kumvunjia heshima, kumkejeli, kumtukana, mjumbe yeyote.

2. Kuleta katika JAMII FORUMS maelezo yenye maudhui mabaya, au kuweza kuleta maudhi yoyote kwa wajumbe ama kwa wingi wake, ukubwa wake, au mfumo wake.

3. Kuleta makala au kuendeleza mijadala yenye kuleta ugomvi, uchochezi na yenye muelekeo wa kutengenishana badala ya kuungana miongoni mwa wajumbe wa JAMII FORUMS na Watanzania wote kwa ujumla.

4. Kuleta maongezi binafsi baina ya mwanachama na mwanachama (waliojisajili) waliyoongea kwa kuaminiana kutoka katika Private Messages (PM) au barua pepe (Emails) na kuyaanika hadharani kwa nia ya kuchafuana.

5. Kusambaza kwa makusudi au kwa uzembe barua zenye virusi vya kompyuta.

6. Kutoa maelezo au shutuma dhidi ya mwanachama mwenzako, kiongozi wa au watu wenye hadhi kijamii bila kuwa na ushahidi wa kutosha kwa lengo la kuchafua rekodi safi ya mhusika kijamii.

7. Ni sharti kwa kila mwanachama kutoa maelezo au mchango wake kwa uwazi na ukweli na kutomuogopa yeyote wala kumpendelea yeyote bali kuweka mbele maslahi ya taifa.

8. Kila mwanachama yupo huru kutoa maoni yake mradi yaliyotajwa hapo juu yanazingatiwa.

Hatua za kinidhamu zinaweza kuchukuliwa dhidi ya yeyote yule atakayeshindwa kuzingatia maelezo hayo hapo juu.

Other Rules to be noted:

1 - Flaming, Bashing, and Trolling:
Hate posts and personal attacks will not be tolerated on the boards. Treat others on these message boards as you would expect them to treat you. Posting topics specifically designed to provoke a negative response from someone (aka trolling) is also asked to be avoided.

2 - Profanity:
Profanity is not tolerated in the board, some words will be censored, also there is to be no name calling, linking two/more display names or a display name with a real name, doing so will give you a warning, and then a ban if you continue.

3 - Spam:
Purposely spamming a message board with senseless, vacuous, or empty messages to gain a higher post count, or just to annoy others is HIGHLY frowned upon! Commercial spamming and advertising are just as unwelcome unless it is done in the special designed area. Promoting your site is only allowed with permission of the site owners. Bumping old threads is allowed in the request forums, but needless bumps in other forums will be classed as spam. Double posting any entry is also considered as spamming.

4 - Email & Private Message Spam:
If the members are using the private message facility to spam the others with pointless, unsolicited mail they will be banned. If anyone receives one of these messages, please contact an admin immediately.

5 - Piracy, and Warez:
We do not mind discussions about piracy or warez, as long as they are just that...discussions. Linking or giving information about any site that distributes illegal software, or warez, seeking help to circumvent any copyright laws, or encouraging software or media piracy grounds for an immediate ban.

6 - Impersonating Other Users / Accessing Another User Account:
You may not impersonate another board member or create an account specifically for the purpose of provoking other users. Also, accessing or using someone else's account or attempting to access another poster's account is strictly prohibited. You will be banned.

7 - Off-Topic Posts:
There is no major punishment for off-topic posters. But lets be honest, it drives us all mad!! If you have something to say but it really has nothing to do with the current thread you are in, please open a new thread for it. Otherwise it will just be deleted and won't solve anything at all.

8 - Circumventing a Ban:
If you log onto the forums and receive a message that you have been banned, please submit an unban request and wait for a staff member to get in touch with you. You may NOT re register under a new name if the software lets you. But, if you try to sign up again and we caught you, then it will become a permanent IP Ban. We do NOT send out notices that you have been banned.

9 - Nudity / Porn:
Please remember that this board is a PUBLIC forum. There are 12 year olds here just as there are 50 year olds. Nudity and porn is prohibited for obvious reasons.


10 - Signatures & Avatars:
We do not have any specific set of rules regarding signatures. However, we do ask you that it will not be offensive to others and the length should be within reason. If you desire to have a custom avatar, it must be 100x100 pixels or less. No adult, drug related or racist content please.

11. Do not post any copyrighted material unless the copyright is owned by you, except for brief credited excerpts to illustrate a point;

12. You will not post what is commonly called spam, which includes but is not limited to such things as advertisements, chain letters, pyramid schemes, solicitations, or promoting a particular cause or organization. Exceptions may be granted for worthy (in our sole opinion) causes if you obtain prior permission from us;

13. We reserve the right to ban any user temporarily or permanently, refuse posting from screen names we find offensive, edit or delete any post, limit postings on any topic, and shut down any topic altogether, for any reason, or no reason, without explanation or warning.

14. You are solely responsible for the content of your messages. We cannot verify content and thus accept no responsibility for it, nor do we vouch for the accuracy, completeness, or utility, of any message or the qualifications of any user.

15. Do not post private messages at JamiiForums or elsewhere without the express permission of the sender of the Private Message.

16. Do not engage in internet stalking. This includes, but is not limited to, following a JamiiForums member from site to site, or from thread to thread within this site; taking posts from JamiiForums in order to attack a poster at another site; and attempting to defame or discredit JamiiForums members on other sites for views they may have expressed at JamiiForums.

17 - Questionable Content:
Since we can't have a rule to cover everything, this is the rule to, well, cover everything. These are public boards, so act like you would if you were in a public place. These issues are left to the discretion of the individual moderators, but may include any material that is knowingly false and or defamatory, misleading, inaccurate, abusive, vulgar, hateful, harassing, obscene, profane, sexually oriented, threatening, invasive of a person's privacy, that otherwise violates any law, or that encourages conduct constituting a criminal offense.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Muda mwafaka wa sisi kukushauri ulikuwa ni kabla hujaamua kujaza fomu za kuomba hiyo kazi yako. Kwa kuwa hukuhitaji ushauri wakati ule, naamini huhitaji ushauri hata sasa. Fanya tu uamuzi wewe mwenyewe.
 
Sitaki kuamini kama umeshindwa kabisa hata kufuga kuku wa kienyeji hapa nchini wakupe pesa.

Umeshindwa kabisa hata kufuga simbilisi ili uuze kwenye hotel za kitalii hapa nchini.

Huo mda kufuatilia hizo web za kijinga namna hiyo ungeutumia kuingia YouTube ukaona video za ufugaji wa kuku kenya au sungura, au bustani za mbogamboga au hata namna wanavyoanzisha biashara ungeona dhahiri ulivyomzembe wa kufanya bidii kutumia fursa lukuki za kukupa utajiri zilizopo nchi hii.

Pamoja na kuwa unasema wewe ni mhitimu wa kidato cha sita, binafsi siamini kama kuna form six hopeless kiasi hicho.
Nchi hii ina mabonde lukuki yenye rutuba ya kutosha kuendeshea shughuli za kilimo we uje na uzwazwa wa aina hii kweli??
Wasomi wa nchi hii bwana, ni aibu sana.
Niseme tu ACHANA NA HUO USHENZI tafta kazi nyingine.
 
kwa hiyo umeamua kujiajiri kama kijana msingi kiuno? hongera kwa kukusudia kufanya hiyo kazi coz kama ni kweli ulitaka ushauri ungetuuliza toka unataka kujaza application zao
 
Back
Top Bottom