Mtihani: Sina kazi ila nimepata fursa ya kutengeneza filamu za ngono nje ya nchi

Kwani hilo dili la dollars ngapi per video hadi ukauze utu wako namna hiyo? Tuanzie hapo kwanza...
Mkuu ni pesa nzuri tu, siwezi kuweka kila kitu wazi ila, mambo ya mkataba majaribio na malipo ni ishu iliyopo mezani kwa sasa.
 
Wasalam wana wa jukwaa.

Ndugu zangu yapata siku kadhaa sasa nawaya waya nisijue la kufanya. Kwa muda mrefu nimeishi bila kazi ya maana zaidi ya kubeba zege kwenye makampuni ya ujenzi ya kichina yenye manyanyaso lukuki.

Elimu yangu ni kidato cha sita, sikuweza kuendelea zaidi kwa sababu za kiuchumi. Sasa katika kuperuzi peruzi kwenye mitandao nimekutana na site nyingi zinazojihusisha na utengenezaji wa hizi filamu za kikubwa(XXX VIDEOS) zikihitaji wahusika (male perfomers) wa kushiriki katika utengenezaji wa hizo filamu.

Basi nikaona kama ni moja ya njia ya kutokea, nikajaza viambata vilivyokuwepo kwenye sites zao halafu nikatuma, nimetuma kwenye makampuni nane.Kampuni tatu zimenikubali, moja wamenikataa sababu ya umri kuwa chini ya miaka 30, na mengine hayajajibu.

Kuna kampuni walionikubali moja kwa moja na tuliwasiliana kwa njia kadhaa zikiwemo za e-mail na WhatsApp, wapo kwenye nchi yenye ubalozi wao hapa TZ, waliniambia nikiwa tayari niende kwenye ubalozi wao ili kushuulikia taratibu zote za usafiri na gharama zote ni juu yao.Nilipofika ubalozini nilikuta kweli hao jamaa wapo serious kwa sababu taarifa zangu zilikuwepo kwenye ofisi za balozi. Vipimo vya afya, majaribio, malipo na mkataba ndizo hatua zinazofuata.

Wadau wa MMU, kiukweli nakuwa na kusitasita juu ya kubong'oa wanawake mbele ya kamera na madirector kibao lakini nikipiga picha haya maisha magumu ninayopitia naona kama hii ni last chance adimu ya kutokea.

Naombeni muwe watulivu na kunipa michango yenu ya kimawazo juu ya hili jambo nami nijue pakuchagua.
Imagine ushauri huu unamuomba Mungu moja kwa moja pale yuko mbele yako!!
 
Kidogo kidogo watakupandishia dau ili wakufumue marinda kama bado hujafumuliwa.
 
Mkuu ni pesa nzuri tu, siwezi kuweka kila kitu wazi ila, mambo ya mkataba majaribio na malipo ni ishu iliyopo mezani kwa sasa.

Yaeza kuwa pesa nzuri Tz, lkn pesa mbovu uendako....unless wanakupa accomodation na bills wakulipie ila kwa msoto wa nje ya nchi ulivyo, think twice
 
Du naona nchi ya viwanda ilee inakuja
Mkuu hili jambo ni la kweli kabisa Kaka.Wamedai ni ajira kama zilivyo nyingine.Pia pale ubalozini kuna Mama mmoja alinichunguza kutaka kujua nakwenda kufanya nini huko na nilimtonya bila kuficha.Basi yeye alinijulisha na kunihakikishia kabisa bro.

akakuhakikishia kuwa utatumiwa na wewe! au?
 
Unaweza ukafika pale wakakuwekea dau kubwa ili wenzio wajivinjar na KABANG YAKO
 
kuwa muuangalifu wasije wakakula 4G.....na tena huna nauli ya kurudi bhasi utakuwa ndo mchezo
 
Kwan utabakwa mkuu???? Unawekewa dollars pemben kifuko cha kaki mpaka hakifungi, harafu mtu kwa pemben anahesabu moja1_5,akifika mbil mwenyew zigo linacheka,
 
Wasalam wana wa jukwaa.

Ndugu zangu yapata siku kadhaa sasa nawaya waya nisijue la kufanya. Kwa muda mrefu nimeishi bila kazi ya maana zaidi ya kubeba zege kwenye makampuni ya ujenzi ya kichina yenye manyanyaso lukuki.

Elimu yangu ni kidato cha sita, sikuweza kuendelea zaidi kwa sababu za kiuchumi. Sasa katika kuperuzi peruzi kwenye mitandao nimekutana na site nyingi zinazojihusisha na utengenezaji wa hizi filamu za kikubwa(XXX VIDEOS) zikihitaji wahusika (male perfomers) wa kushiriki katika utengenezaji wa hizo filamu.

Basi nikaona kama ni moja ya njia ya kutokea, nikajaza viambata vilivyokuwepo kwenye sites zao halafu nikatuma, nimetuma kwenye makampuni nane.Kampuni tatu zimenikubali, moja wamenikataa sababu ya umri kuwa chini ya miaka 30, na mengine hayajajibu.

Kuna kampuni walionikubali moja kwa moja na tuliwasiliana kwa njia kadhaa zikiwemo za e-mail na WhatsApp, wapo kwenye nchi yenye ubalozi wao hapa TZ, waliniambia nikiwa tayari niende kwenye ubalozi wao ili kushuulikia taratibu zote za usafiri na gharama zote ni juu yao.Nilipofika ubalozini nilikuta kweli hao jamaa wapo serious kwa sababu taarifa zangu zilikuwepo kwenye ofisi za balozi. Vipimo vya afya, majaribio, malipo na mkataba ndizo hatua zinazofuata.

Wadau wa MMU, kiukweli nakuwa na kusitasita juu ya kubong'oa wanawake mbele ya kamera na madirector kibao lakini nikipiga picha haya maisha magumu ninayopitia naona kama hii ni last chance adimu ya kutokea.

Naombeni muwe watulivu na kunipa michango yenu ya kimawazo juu ya hili jambo nami nijue pakuchagua.
Hauna kibamia lakin?
 
Back
Top Bottom