Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah aise ila njia yake mkuu ina miba kama sio chupa zilizovunjwa kwaio unapita kwa kukanyaga...nafikiri this week my best thread itakua hii...Unajua anaona rahisi uwezi jua ukifika uko kila kitu kinabadilika sisi tupo apa tunasubili mrejesho
Mkuu wakati wa amani ni rahisi sana kuyaona maisha ni mepesi, lakini ukipata nafasi ya kuishi haya maisha yangu walau kwa siku moja, bila shaka usingesita kuchukua hatua ninazotarajia kuzichukua soon.Hiyo jamii kama haikuweza kunisaidia ili nijikwamue basi wasiweze kunicheka wakati ninapojikwamua.Mkuu mpaka uliamua kujaza fomu inamaana tayari ulikuwa na maauzi kichwani.
Haikutosha ukaenda ubalozini kupata information kama ni kweli pia ukathibitisha.
Cha msingi kaa chini jiulize kwa imani yako ya dini kama unayo lakini inakuruhusu kufanya hilo jambo?Watu tunazini sawa lakini si kiasi cha kufanya kazi kama hiyo.
Jiulize je wazazi wako watajisikiaje kwa kazi unayoifanya watakapogundua?
Wanaweza wasijue ila jamii inayokuzunguka ikajua je watawachukuliaje wazazi wako?Wataonekana hawakukulea kimaadili na watadharaulika.
Mimi sikushauri endelea tu kubeba zege yawezekana wakati wako haujafika siku ukifika utatoka tu mbona
Ngoja atuambie si atakua ameambiwa labda kwenye hio mifomuNasomaga umu kuwa wanalipwa dollar 100 au 150 sasa sielewi inakua kwenye mchanganuo upi
Ugumu wa maisha, kukosa kazi na pesa ya uhakika pamoja na kutokuwa na mahusiano mema ya kimapenzi ni factors Mkuu.[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] Tumefikaje huku vijana wa ktz jmn..!!!???,hv swala ni ugumu wa maisha2 au ni kazi uliitamani mda mrefu...????, kuwa mkweli bhuanaa mbna unataka umtende Mungu dhambi kubwa namna hiyo...????
Yaan mm naogopa utafkili mm ndo muhusika ila mwenywe wasi hanaDah aise ila njia yake mkuu ina miba kama sio chupa zilizovunjwa kwaio unapita kwa kukanyaga...nafikiri this week my best thread itakua hii...
ila mhhh...aise
Sidhani kama ataweza ongelea swala la malipoNgoja atuambie si atakua ameambiwa labda kwenye hio mifomu
Very clever questionMkuu try to be serious usije ukajuta
Una uhakika na wewe hawatakutumia
Ndio maana nilisema inategemeana na aina ya kampuni.Kuna moja walikuwa wamehorodhesha kabisa, mwanaume ni kati ya dola 1400-1600, mwanamke ni kati ya dola1800-2200, lakini sikupata chance hapo.Ila hawa wengine nao wanatoa dau kali, limenishawishi vya kutosha.Nasomaga umu kuwa wanalipwa dollar 100 au 150 sasa sielewi inakua kwenye mchanganuo upi
Kweli mkuu,hebu ni-PM jina lake nimchekiNenda tu.. Mbona kuna demu ni Mtanzania anacheza hizo picha ila Watanzania wengi tu hawamjui..
Na ni maarufu tu ashashindaga awards kama mbili za best performer..
Kwa kila mechi bei hizo na kwa siku unacheza mechi ngpNdio maana nilisema inategemeana na aina ya kampuni.Kuna moja walikuwa wamehorodhesha kabisa, mwanaume ni kati ya dola 1400-1600, mwanamke ni kati ya dola1800-2200, lakini sikupata chance hapo.Ila hawa wengine nao wanatoa dau kali, limenishawishi vya kutosha.
Kiuhalisia inaogopesha...!! Ila ndo ameshaamua navyoona na sisi wana JF hatuna budi kumtakia maisha mema huko aendako. Ila hata mm inaskitishaYaan mm naogopa utafkili mm ndo muhusika ila mwenywe wasi hana
Swali zuri nami naomba kujuaKwa kila mechi bei hizo na kwa siku unacheza mechi ngp
Nipe link namimi nijaze izo fomumkuu moto wa kuzimu unakuhusu
Yeah ni kweli Mungu amsaidie tu ktk safari yake sbbu ameshaamuaKiuhalisia inaogopesha...!! Ila ndo ameshaamua navyoona na sisi wana JF hatuna budi kumtakia maisha mema huko aendako. Ila hata mm inaskitisha
Faza kuomba unaomba ila hujui utakalopewa, so napokea lililonijia Mkuu.Mhhh sikushauri lolote man cha msingi ushajua ngeukie Mungu atakupa jibu kwa uombacho. Kaa mbali nao
Dau kali how much..funguka mkuuNdio maana nilisema inategemeana na aina ya kampuni.Kuna moja walikuwa wamehorodhesha kabisa, mwanaume ni kati ya dola 1400-1600, mwanamke ni kati ya dola1800-2200, lakini sikupata chance hapo.Ila hawa wengine nao wanatoa dau kali, limenishawishi vya kutosha.
Kama upo serious uje PM tuongee.Nipe link namimi nijaze izo fomu