Mtihani: Sina kazi ila nimepata fursa ya kutengeneza filamu za ngono nje ya nchi

Mtihani: Sina kazi ila nimepata fursa ya kutengeneza filamu za ngono nje ya nchi

Nilifikiri kuwa Trump alikuwa sahihi kusema Waafrica wanawaza ngono 24/7!

Hata rais wako Magufuli nauhakika akipitia huu uzi wako na kumkuta kijana kama wew unawaza hivyo kesho asubuhi na mapema atafanya maamuzi magumu ya kujiuzulu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakua breaking news ya afrika na dunia kwa ujumla
 
ukikubali kuingia nao mkataba mek sure unawaambia hutaigiza na shemale, ukiigiza na shemale baba umeumia, unampiga miti na ye anakupiga miti. hatari sana
Hahahaaa asante mkuu kwa kugusia hilo, kabla ya kufanya jambo unapewa maelekezo ya kutosha then nafasi ya kuchagua unalopenda.Kwa hiyo siwezi kufanya blunders.
 
Mkuu mpaka uliamua kujaza fomu inamaana tayari ulikuwa na maauzi kichwani.
Haikutosha ukaenda ubalozini kupata information kama ni kweli pia ukathibitisha.
Cha msingi kaa chini jiulize kwa imani yako ya dini kama unayo lakini inakuruhusu kufanya hilo jambo?Watu tunazini sawa lakini si kiasi cha kufanya kazi kama hiyo.
Jiulize je wazazi wako watajisikiaje kwa kazi unayoifanya watakapogundua?
Wanaweza wasijue ila jamii inayokuzunguka ikajua je watawachukuliaje wazazi wako?Wataonekana hawakukulea kimaadili na watadharaulika.
Mimi sikushauri endelea tu kubeba zege yawezekana wakati wako haujafika siku ukifika utatoka tu mbona
 
Huogopi? mbona naskia hela wanazolipwa sio nyingi aisee ungekua ndg yangu nisingekushauli kwenda kwanini usikomae tu apa apa Mungu atasikia kilio chako anachelewa kukujibu lkn ipo siku yako tu utafanikiwa
Ulisikia sh ngap shunie wang?
 
Mechi moja ukipiga wamesema kwa makadirio kama Tshs ngapi?..au kwenye kuperuzi kwako malipo yao yapo vp[emoji1] [emoji23]
 
Back
Top Bottom