Mtihani: Sina kazi ila nimepata fursa ya kutengeneza filamu za ngono nje ya nchi

Mtihani: Sina kazi ila nimepata fursa ya kutengeneza filamu za ngono nje ya nchi

Kwani ulipokuwa unajaza fomu ya kuomba ajira hiyo hukuwa sirias? Tena kampuni 6? Halaf unakuja kuomba ushauri acha masihara hayo
Mkuu hata kama umepanga jambo litokee, likitokea lazima ushtuke kidogo.Kuamini kunayumba kidogo.
Pia nimecalculate faida na hasara zake na nimeleta hapa nili kujua kama nitapata faida zaidi au hasara kabla ya kufanya final decision
 
Duu angalia pesa zisikuponze kwa niin form six Ata usifundishe ukapata Ela kuliko hizo zakufanya x kwenye video afu utakula dawa zakuongeza nguvu je ukitapeliwa itakuweje
Kila shule niliyoenda kuomba tempo zilikuwa zimejaa waalimu.So sikuwa na option nyingine zaid ya kubeba zege.
 
Lol! Mkuu upo serious ama unatania jukwaa?

Hakuna issue nyingine ya kukutoa tofauti na industry za porno?

Dah! aya bhana tutakapokuona tutadhani ni mablack Americans kumbe ni mbongo anatumia fursa😀😀😀😀😀
Nipo serious Mkuu, issue zote zimetait balaa.Hii ni kama bahati kwangu.
 
Back
Top Bottom