T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Usiende Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu duniani hakuna kazi rahisi wala ngumu ni mtazamo tu.Pia uzuri ama ubaya wa kitu ni mitazamo tu ya watu wenyewe.Mdogo wangu, maana ya uanaume, siyo lining'iniza dushe hapo mbele, wala si suala la kuvaa suruali. Uanaume ni zaidi ya tunauchukulia tulio wengi. Mwanaume wa kweli ni yule anayeweza kukabiliana na changamoto zote za maisha wakati huohuo akitunza sifa iliyo njema ktk jamii. Kutafuta mteremko ktk kukabiliana na changamoto za maisha huo ni "uanauke". Si wote tunaomiliki majumba na magari tumetoka familia zilizo njema. Wengine tumepitia misukosuko ambayo haielezeki. Nacho kushauri, usikubali kuingia ktk michezo itakayo haribu reputation yako kisa ugumu wa maisha. Komaa na zege wakati huo ukipunguza anasa ili hatimae upate msingi japo wa genge la nyanya. Mtangulize Mungu ktk kila jambo ufanyalo, nakuhakikishia hatokuacha kamwe.
Mkuu nilijaribu kila mbinu kule kijijini lkn hazikufua dafu.Ukame ni mkali sana Mkuu.rudi kijijin kwenu ww, daah pesa kwel mwanaharam, the things people are willing to do for money
Sawa Mkuu, nitafikiri juu ya ushauri wako.Nenda buana ukapige na za nje, ila jitahidi kufanya vizuri make unaliwakilisha taifa...
Nenda piga kazi for two terms contract , then come back in tz to start your projects. kama ni moral issue wangapi wanafanya hayo nje ya utaratibu?Usije Kugeuzwa Shoga hawachelewi
Hatari yake itakuwa wapi?hatari sana kama inawezekana achana na hayo makitu.....
Barida Mkuu, kwa ushauri.Nitazingatia maoni yako.Nenda piga kazi for two terms contract , then come back in tz to start your projects. kama ni moral issue wangapi wanafanya hayo nje ya utaratibu?
teh teh basi sawaUnamaanisha
r-Rooney
i-Ibramovic
p-Pogba?
Hata mimi nawakubali sana hao wana Mkuu.
tazama nimeweka mbele yako mauti na uzima bora uchague uzima ukaishiMkuu kil kitu ni sawa tu....nikiendelea na hili zege siku zangu hazitakuwa nyingi,,,,hawa wachina wasikie tu ndugu.
tazama nimeweka mbele yako mauti na uzima bora uchague uzima ukaishiMkuu kil kitu ni sawa tu....nikiendelea na hili zege siku zangu hazitakuwa nyingi,,,,hawa wachina wasikie tu ndugu.
[emoji23] ulisoma combination gan advance levelMkuu nilijaribu kila mbinu kule kijijini lkn hazikufua dafu.Ukame ni mkali sana Mkuu.
[emoji23] ulisoma combination gan advance levelMkuu nilijaribu kila mbinu kule kijijini lkn hazikufua dafu.Ukame ni mkali sana Mkuu.
Sawa Mkuu, shule imebadili gear angani.Watu kibao na madegree yao tupo nao site.sishangah uyu wa form six kuhaha kias hiki kwenye zege wapo wenzie uku site degree holder wanabeba ilo ilo zege stendi uko nako wengi tuu usitake short cut fanya kaz dont give up
hata ungemaliza usingepata ajira hapo hapo work hard pay more hayo ma muv ungebaki kuya angalia tu ila kwenda kuifanya kama kazi think twice......Sawa Mkuu, shule imebadili gear angani.Watu kibao na madegree yao tupo nao site.
Kama huna Kiba hundred bakia hapa hapa tz.... Coz tuna upungufu mkubwa sana wa mandingo...Wasingehangaika ni mimi kaka.