Mtihani: Sina kazi ila nimepata fursa ya kutengeneza filamu za ngono nje ya nchi

Mtihani: Sina kazi ila nimepata fursa ya kutengeneza filamu za ngono nje ya nchi

Mdogo wangu, maana ya uanaume, siyo lining'iniza dushe hapo mbele, wala si suala la kuvaa suruali. Uanaume ni zaidi ya tunauchukulia tulio wengi. Mwanaume wa kweli ni yule anayeweza kukabiliana na changamoto zote za maisha wakati huohuo akitunza sifa iliyo njema ktk jamii. Kutafuta mteremko ktk kukabiliana na changamoto za maisha huo ni "uanauke". Si wote tunaomiliki majumba na magari tumetoka familia zilizo njema. Wengine tumepitia misukosuko ambayo haielezeki. Nacho kushauri, usikubali kuingia ktk michezo itakayo haribu reputation yako kisa ugumu wa maisha. Komaa na zege wakati huo ukipunguza anasa ili hatimae upate msingi japo wa genge la nyanya. Mtangulize Mungu ktk kila jambo ufanyalo, nakuhakikishia hatokuacha kamwe.
Mkuu duniani hakuna kazi rahisi wala ngumu ni mtazamo tu.Pia uzuri ama ubaya wa kitu ni mitazamo tu ya watu wenyewe.
 
sishangah uyu wa form six kuhaha kias hiki kwenye zege wapo wenzie uku site degree holder wanabeba ilo ilo zege stendi uko nako wengi tuu usitake short cut fanya kaz dont give up
 
sishangah uyu wa form six kuhaha kias hiki kwenye zege wapo wenzie uku site degree holder wanabeba ilo ilo zege stendi uko nako wengi tuu usitake short cut fanya kaz dont give up
Sawa Mkuu, shule imebadili gear angani.Watu kibao na madegree yao tupo nao site.
 
Sawa Mkuu, shule imebadili gear angani.Watu kibao na madegree yao tupo nao site.
hata ungemaliza usingepata ajira hapo hapo work hard pay more hayo ma muv ungebaki kuya angalia tu ila kwenda kuifanya kama kazi think twice......
 
Back
Top Bottom