Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ndo kazi kazi manake kazi na starehe hapo hapo.kapige mizigo acha kulemba.Wasalam wana wa jukwaa.
Ndugu zangu yapata siku kadhaa sasa nawaya waya nisijue la kufanya. Kwa muda mrefu nimeishi bila kazi ya maana zaidi ya kubeba zege kwenye makampuni ya ujenzi ya kichina yenye manyanyaso lukuki.
Elimu yangu ni kidato cha sita, sikuweza kuendelea zaidi kwa sababu za kiuchumi. Sasa katika kuperuzi peruzi kwenye mitandao nimekutana na site nyingi zinazojihusisha na utengenezaji wa hizi filamu za kikubwa(XXX VIDEOS) zikihitaji wahusika (male perfomers) wa kushiriki katika utengenezaji wa hizo filamu.
Basi nikaona kama ni moja ya njia ya kutokea, nikajaza viambata vilivyokuwepo kwenye sites zao halafu nikatuma, nimetuma kwenye makampuni nane.Kampuni tatu zimenikubali, moja wamenikataa sababu ya umri kuwa chini ya miaka 30, na mengine hayajajibu.
Kuna kampuni walionikubali moja kwa moja na tuliwasiliana kwa njia kadhaa zikiwemo za e-mail na WhatsApp, wapo kwenye nchi yenye ubalozi wao hapa TZ, waliniambia nikiwa tayari niende kwenye ubalozi wao ili kushuulikia taratibu zote za usafiri na gharama zote ni juu yao.Nilipofika ubalozini nilikuta kweli hao jamaa wapo serious kwa sababu taarifa zangu zilikuwepo kwenye ofisi za balozi. Vipimo vya afya, majaribio, malipo na mkataba ndizo hatua zinazofuata.
Wadau wa MMU, kiukweli nakuwa na kusitasita juu ya kubong'oa wanawake mbele ya kamera na madirector kibao lakini nikipiga picha haya maisha magumu ninayopitia naona kama hii ni last chance adimu ya kutokea.
Naombeni muwe watulivu na kunipa michango yenu ya kimawazo juu ya hili jambo nami nijue pakuchagua.
Hivi kuna mashindano ya kuchukuliana avatar hapa?Tengeneza tu hata ndani ya nchi mkuu
Wamissionali walitisha watu na wewe pia Umechukua nafasi yao ya kutisha watu? ndio maana nilishaachanga kwenda kwenye mambo ya Dini full kutishana tu.... Kuna Mhuni siku moja alipita msikitini kwa nje akafika hadi mlangoni akaanza kuongea kwa sauti kubwa Shehe Watishe hao kwa sauti ya kiteja... me siji huko sitaki kutishwa tishwa...mkuu moto wa kuzimu unakuhusu
Hao jamaa wapo makini sana kwenye suala la dushe, ukiwa na kibamia ama kamchongoma huwezipata namba.Kama huna Kiba hundred bakia hapa hapa tz.... Coz tuna upungufu mkubwa sana wa mandingo...
Please...
Sawa Mkuu, bado napima upepo ingawa milango ipo wazi.Hiyo ndo kazi kazi manake kazi na starehe hapo hapo.kapige mizigo acha kulemba.
Hata mimi najiuliza hilo swali, avatar za kina Luther jr, Nyerere, Che Guevara, Obama hazihesabiki Mkuu, watu wanakopi avatar za watu sana. CC MSAGA SUMU na oncogene, hawa watu wananichanganya sana.Hivi kuna mashindano ya kuchukuliana avatar hapa?
Hakuna kulazimishwa huko.Kuwa makini zisije kuwa porn za jinsi moja afu ikawa zamu zamu.
Kwa kukusaidia anza kufanya mazoezi ya kupigana kabla hujaondoka ,huwezi juwa mkuu mambo ya wanadamu,unaweza kufika kule jamaa wakakubadilikia wanataka mambo ambayo wewe hutayapenda.Sikujaza kwenye category za 'GAY' so sina wasi wasi na na goti kupigwa.
Mkuu kwa hili zege nalobeba na ugali wa dagaa sipo haba, hata hivyo nahisi nguvu ni huku bongo tu.Kwa kukusaidia anza kufanya mazoezi ya kupigana kabla hujaondoka ,huwezi juwa mkuu mambo ya wanadamu,unaweza kufika kule jamaa wakakubadilikia wanataka mambo ambayo wewe hutayapenda.
Al-shababu wanajilipua muhanga, ila mimi nakwenda kupiga job Mkuu.Dah!!..wewe na Al-shabab hakuna utofauti....unajitoa mhanga kabisa.