Mtihani: Sina kazi ila nimepata fursa ya kutengeneza filamu za ngono nje ya nchi

Mtihani: Sina kazi ila nimepata fursa ya kutengeneza filamu za ngono nje ya nchi

We mkuu ashakwambia HAPA KAZI TU! We kapige mzigo. Ulete mapene kwani wazazi wako wanaangalia dod o hizo!? Hawa wote wanakudharau wakikuona ukibeba hilo zege kila dei wanakupita kama uchafu ..........Ila maneno yangu sio sheria
 
Asante Mkuu kwa ushauri, wazazi wapo kijijini hawana hata umeme na kuupata sii leo.
Sijali sana wanaonicheka maana life linategemea nguvu zangu mwenyewe.
 
Kapige kazi mkuu. Hiyo ndo chance yako. Nenda baba wengi tunafanya hizo kazi sema tofauti yake tu hatumulikwi na kamera
 
Wamissionali walitisha watu na wewe pia Umechukua nafasi yao ya kutisha watu? ndio maana nilishaachanga kwenda kwenye mambo ya Dini full kutishana tu.... Kuna Mhuni siku moja alipita msikitini kwa nje akafika hadi mlangoni akaanza kuongea kwa sauti kubwa Shehe Watishe hao kwa sauti ya kiteja... me siji huko sitaki kutishwa tishwa...
wewe huamini kuwa mungu yupo
 
Mbona Idrisa aliweza..em tupe link kaka nasi tujumuike nawe.
Nawish nkutane Ana kwa Ana na Cheroke D Ass.
Kuvaa mask SI inaruhusiwa?
Hahahaha akina pinky xxxx, Lacey duvale, Jada fire, bonnie rotten, Kristina rose, jessei Andrews, Monica sweetheart, Audrey bittoni, belladona, Dakota Skye, Jesse Jane, katsuni, minka mason, Lilly carter, Lilly labeau, Veronika Brazil, alleta ocean, Lissa Ann, Brandi love, Carmen bing, Angelina valentine, Mia khalifa, Hannah harper.
 
If you want to go its because you want to, wala tusisingizie maisha magumu katika maamuzi tunayofanya.
 
Kwa maisha yetu ya kitanzania, kitamaduni na kiimani nakuona utakuja kujutia hii kitu hapo baadae... Utajenga maisha yako yawe mazuri, hapo baadae sasa nafsi itaanza kukusuta umepata maisha mazuri kwa kupindisha maadili na imani ya dini(kama unajali sana imani yako)... Utaanza kujuta na kutamani movie zako za ngono ulizocheza zipotee au zipotee, itakua ngumu... Fanya maamuzi sahihi sasa
 
Hahahaha akina pinky xxxx, Lacey duvale, Jada fire, bonnie rotten, Kristina rose, jessei Andrews, Monica sweetheart, Audrey bittoni, belladona, Dakota Skye, Jesse Jane, katsuni, minka mason, Lilly carter, Lilly labeau, Veronika Brazil, alleta ocean, Lissa Ann, Brandi love, Carmen bing, Angelina valentine, Mia khalifa, Hannah harper.
Unawafaham wengi eee
 
Back
Top Bottom