Mgosi original
Member
- Feb 13, 2013
- 98
- 15
Siamin kama 60% ya wanafunz ni bomu. Pia shule za serikali ndo zimeharibu balaa. Iundwe tume irudie kusahihisha mitihani mana nchi hi imekuwa ya kukomoana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini huamini kama mitahini yenyewe ya darasa la saba wanafeli mpaka wabebwe na form 2 hivyo hivyo, je ukisahihishwa upya matusi au mashairi ya mapenzi na wasiojibu kitu yakutakuwa majibu sahihi?Siamin kama 60% ya wanafunz ni bomu. Pia shule za serikali ndo zimeharibu balaa. Iundwe tume irudie kusahihisha mitihani mana nchi hi imekuwa ya kukomoana.
kaka mie niko masters Open University so the issue I raised here I have made a minor research and siamin kama wat zaid ya laki mbili wapate ziro. Basi huenda ile chanjo waliopigwa ya kupunguza uwezo wa kufikir inaeanya kaz.ni gharama sana kusahisha tena upya. jamani inabidii tuionee huruma serikali yetu maana inamajukumu kibao. we kama unaona umeonewa appeal na kunakiasi unalipia!
Siamin kama 60% ya wanafunz ni bomu. Pia shule za serikali ndo zimeharibu balaa. Iundwe tume irudie kusahihisha mitihani mana nchi hi imekuwa ya kukomoana.
Hao waliochora vikatuni na kuandika mashairi ya bongo fleva nao wasahihishiwe upya??Siamin kama 60% ya wanafunz ni bomu. Pia shule za serikali ndo zimeharibu balaa. Iundwe tume irudie kusahihisha mitihani mana nchi hi imekuwa ya kukomoana.
Mi nashauri wale wanaosema wamefeli sababu ya mfumo Kristo waanzishe baraza lao la mitihani.
Wasahishaji wawe majini ndio haki itatendeka. Maana wakisahihisha binadamu wataanza tena kusema huyu Sunni, huyu Mohamadia.... malalamiko kamwe hayataisha
Tena sio hao tu hadi waliopata division four nao ni bomu. Wanafunzi hawasomi kazi yao kubwa kwenda disco,facebook,bbm kusoma magazeti ya udaku na kusikiliza radio mbao
kaka mie niko masters Open University so the issue I raised here I have made a minor research and siamin kama wat zaid ya laki mbili wapate ziro. Basi huenda ile chanjo waliopigwa ya kupunguza uwezo wa kufikir inaeanya kaz.
Niliwahi kuwa mwalimu katika madaraja tofauti, katika shule na taasisi tofauti! asikuambie vilaza wameongezeka sana katika karne hii ya sayansi na teknelojia! Naamini hayo ni matokeo sahihi ingawa miaka mingi huwa wanayachakachua kuongeza ufaulu wa watoto wetu.
kaka mie niko masters Open University so the issue I raised here I have made a minor research and siamin kama wat zaid ya laki mbili wapate ziro. Basi huenda ile chanjo waliopigwa ya kupunguza uwezo wa kufikir inaeanya kaz.
Siamin kama 60% ya wanafunz ni bomu. Pia shule za serikali ndo zimeharibu balaa. Iundwe tume irudie kusahihisha mitihani mana nchi hi imekuwa ya kukomoana.
Kama kuvuja kwa mitihani kumezibwa, unategemea nini !? .........kipindi chote cha Mkapa na cha kwanza cha Kikwete, deal zilikuwa ni wizi wa mitihani !
Kuna Mkurugenzi wa Baraza alifukuzwa na Mkapa kwa 'manufaa ya umma' kwa ushiriki wake kwa hilo.
Ndalichako akaingia akajikuta hali ni hiyo hiyo, kumbe ni kada ya kati ya uongozi ndo inavujisha. Ni wazi safarii hii wamefanikiwa. Sasa picha halisi imejitokeza !