Mtihani wa Darasa la Saba wafutwa

Angesema lugha ya kufundishia ni kiingereza kuanzia shule za awali ningeunga mkono, lakini kwa hili hapana.

"lazima ujue kuandika na kuongea kiingereza" nafasi nyingi za kazi hili ni sharti lao kuu,

Tangu hapo taifa limeshagawanywa.,,

kiswahili kinaletwa kwa sie makapuku, ambo tutaendelea kuwa wakulima masikin na wafugaji tukiwatumikia wao waliosoma academies..
 
sere nzuri ya wao kuendelelea kututawala maana watoto wao watasoma hizo shule kama faiza na santi meri sisi wa kwetu za kata

ina maana wao wataendelea kututawala maana sisi tutakuwa hatuna elimu...

ntakula nao sahani moja

hakika.......
 
wamelileta hili wakati muafaka kabisa, hii ni sababu tosha kabisa ya kuwaondoa hawa wehu.

Another bogus policy from a bogus government. Can Tanzanians seize the 2015 elections opportunity to help flush out of government these stooges! Lest we are all drowning!.
 
Is there any justification that this will improve a quality of education? I should work hard to send my kids to a country where they could attain good education.

Were all Tanzanians involved in formulating this incoherent policy?!
 
Hii sera mbona haina mwisho mzuri huko mbele? Kwa maandalizi yepi tulionayo mpaka kuweza kuja na sera hii? Kwa uchumi upi tunaweza kutekeleza sera hii? Kama vitabu tu vya kufundishia leo tunategemea misaada.

Au ndio sera mpito kwa ajili ya oktoba?
Nionavyo mimi Tanzania bado hatuna ubavu wa kuja na sera hii.
 

Post hii nimeipenda sana. Kwa simu yangu siwezi ku like
 
Wototo wote wanahaki ya kupata Elimu. Suala la usomi ni wachache sana wanahitajika hao ndo wangangane na international languages ambapo ofcos Swahili is among them

Policy poa kabisa. Wale wanaopeleka watoto wao shule ili wapate ajira nzuri waendelee na academy's schools
 
Hii ni sera inayolenga watawala wetu wa sasa waendelee kutawala vizazi na vizazi kwani watoto wa watawala hawasomi kwenye hizi shule ambako sera hii itakuwa implemented. Nchi ambazo wanatumia lugha zao wenyewe wanayo base nzuri kiuchumi na wana viwanda vinavyozalisha vitu mbali mbali vinavyotakiwa katika maisha ya kawaida ya mwanadamu.

Sisi tunataka kiswahili kitumike mpaka University wakati hata uwezo wa kutengeneza mswaki wa meno hatuna.

Hebu tujiulize, leo tumenunua machine ya kuchambua pamba ambayo operating manual yake ni Kiingereza, huyo mwenye degree ya kiswahili ataweza kuoperate hiyo machine?

Hii ya kusema kiingereza kitafundishwa tu kama lugha hebu angalia ni wangapi wanaomaliza darasa la saba (baada ya kusoma kiingereza kwa miaka saba kama lugha) wanaweza hata kuandika sentensi sahihi ya kiingereza.

Wakati watoto wa wanyonge watakuwa wanasoma kwenye mfumo huu wa elimy, watoto wa watawala watakuwa wako marekani na uingereza wakisoma kwa lugha hiyo hiyo ambayo sera hii inaikataa.

Kwangu mimi, sera hii ni upuuzi mtupu ni ni kikwazo cha watoto wa wanyonge kupata ajira nje ya Tanzania.

Tiba
 
Wototo wote wanahaki ya kupata Elimu. Suala la usomi in wachache sana wanahitajika hao ndo wangangane na international languages ambapo ofcos Swahili is among them

Lini kiswahili kikawa among international languages? Hii ndio nimeisikia kwako. Kwa taarifa yako, international languages ni zile zinazotumika na UN. Kama lugha haitambuliki kama lugha rasmi ya UN, then hiyo sio international language.

Tiba
 
Kweli ni sawa na mbwa anaetakakufa, anajileta barabarani mwenyewe
 
Wakifanya hivyo, watoto wa wenye hela watasoma English medium. Hapo sasa mtoto wa kapuku ataishia kuwa karani. kutumwa tumwa chai. Nan atamuajiri mtu asiyetema yai?

90% ya wanaoajiriwa serikali wametoka kwenye mfumo wetu wa elimu. hao watoto wa wenye hela unaowasema huuishi huko huko ulaya....
 
Tiba

Ushafika UN? waulize kina kikwete kama kwenye zile Headphones wanazovaa wakiwa UN/AU tafisiri ya kiswahili haipo?
 
Last edited by a moderator:
This is so pathetic,I do not know where we are heading to,uchumi wote wamebinafsisha kwa wageni na kuapata kazi interview zote kwa kizungu,

kwa staili hii watakaopata ajira ni watoto wao waliopitia english medium wa kwetu na St Kayumba wataishia kuwa mabarmaids wenye elimu ya Form 4,niambie nchi hii ni muajiri gani anafanyisha interview kwa kiswahili,labda kampuni za ulinzi.
 

Watu wanakwenda shule ili waelimike, sio wote wanakwenda huko ili mwisho wa siku waajiriwe??? shida yote wanyopata CCM sasa si kwa kuwa wengi ingawa sio wengi kihivyo wamepita darasani? and we can challenge issues???

Enzi za Nyerere anaagalia TV peke yake halafu asbuhi anatueleza yanayotokea duniani ulikuwa hujazaliwa wewe???
 
Nchi yetu twataka angalau kila mtu awe na form four ila hatujui matatizo yatayokuja huko baadae
 
Ushafika UN? waulize kina kikwete kama kwenye zile Headphones wanazovaa wakiwa UN/AU tafisiri ya kiswahili haipo?

Kama ni suala la kutafsiri lugha, hata kisukuma kinatafsiriwa pia na hizo machine. Ninapozungumzia lugha za UN ni zile lugha ambazo unapashwa kuwa unajua kuzizungumza ili upate ajira huko UN. Kiswahili si kati ya hizo lugha.

Tiba
 
Hili halitekelezeki,

Mosi ameona anamaliza muda wake ndiyo analeta mbwembwe Pili alipongia madarakani alikuta physics with Chemistry ,je yeye aliitekeleza? pamoja na kwamba alikuwepo kwenye baraza la mawaziri walioipitisha.

Alifuta ada ya NECTA mbona ilimshinda akairudisha fasta,atakayekuja naye atatengeneza sera yake ya elimu

Ushafika UN? waulize kina kikwete kama kwenye zile Headphones wanazovaa wakiwa UN/AU tafisiri ya kiswahili haipo?
 
Maana yake form 4 ni upumbavu tu, kitu ambacho sio kweli kwa form 4 alifunzwa vyema ni moto. Wafanye shule ziwe shule,sasa una aina ya walimu wajariamali shule! stupid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…