Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah....Cha Pwani?[emoji12]Kile cha botanical vya Shafi na Shaban Robert
Hii ilifaa jukwaa la siasa kabisa.....manake kule mambo kama Rais wa TLS, Rais wa nchi, Rais wa TFF yana washabiki wengi!Kila mgombea urais afanye mtihani wa Kiswahili kigumu ili tuachane na hii tabia ya viongozi kuongea kiswanglish
Hivyo siyo Kiswahili kilichotumiwa na Shanna Robert hata litany cha Kuli kililichoandikwa na Adam Shafi hakutumia lugha hiyoKiswahili kigumu hutapata viongozi hasa ukitumia lahaja za kiunguja na kimvita watapoteana.
Mfano.
Mchana uitwe mtsana
Msichana aitwe nshikyana
Aliwashinda iwe kawashindi
Mmetenda iwe mtendele
Pasua iwe bashoa
Kuongea iwe tongoa
Aahhaaa!!!.nashauri wafanye tu mitihani ya kiswahili kirahisi kwa lahaja sanifu ya kiswahili.