Mtihani wa Kiswahili kigumu

Inaruhusiwa kwenye lugha hiyo kitu inaitwa language alteration na sio mbaya sana kufanya code mixing au code switching
 
Na hii mvua kiingereza kinatereza tu. Mara useme will see you next month
 
Kila mgombea urais afanye mtihani wa Kiswahili kigumu ili tuachane na hii tabia ya viongozi kuongea kiswanglish
Hii ilifaa jukwaa la siasa kabisa.....manake kule mambo kama Rais wa TLS, Rais wa nchi, Rais wa TFF yana washabiki wengi!
Anyway nia kubwa ya mimi kukuandika hii response ni kukusalimia kwa kweli. U hali gani?
 
Hivyo siyo Kiswahili kilichotumiwa na Shanna Robert hata litany cha Kuli kililichoandikwa na Adam Shafi hakutumia lugha hiyo
 
Naona watu mpo kwenye vitakirishi vyenu mnaijaza kunzidata ya JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…