Mtihani wa Kiswahili kigumu

Mtihani wa Kiswahili kigumu

Kila mgombea urais afanye mtihani wa Kiswahili kigumu ili tuachane na hii tabia ya viongozi kuongea kiswanglish
Dah.......
Kuna viswahili vya aina nyingi sana....
Cha Arusha...🙂
Cha Mara...
Cha Chato...
Cha Ntwara....
Cha Kanyigo...
Cha Takita...........
Kipi ni kipi??😀😀😀😀😀
 
Dah.......
Kuna viswahili vya aina nyingi sana....
Cha Arusha...🙂
Cha Mara...
Cha Chato...
Cha Ntwara....
Cha Kanyigo...
Cha Takita...........
Kipi ni kipi??😀😀😀😀😀
Cha taifa
 
Kiswahili kigumu kwa wengi ndo maana wengi hatuwezi kutumia bidhaa za kutoka nje mfano simu bila kuweka mpangilio wa kiingereza, na hata mitandao ya kijamii ni vigumu kutumia
 
Back
Top Bottom