Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

pela

Member
Joined
May 19, 2017
Posts
31
Reaction score
151
Kutoka kwa mdau,

Mimi ni kijana kutoka Kigoma, jana nimefanya written interview ya Tax Officer TRA inayosimamiwa na utumishi.

Baada ya kufanya paper tukaanza kusikia kuwa paper ilivuja, leo kuna mdau kanitumia hiyo paper.

Hii ni evidence tosha kuwa paper ilivuja maana mnapofanya huo mtihani taratibu zinataka ukusanye majibu yako pamoja na question paper, maana details zako unajaza kwenye question paper. Sasa hii paper imetoka wapi kama paper haikuvuja

Hii sio fair kabisa maana watu tumepoteza muda na hela. Personally nimetumia zaidi ya 200,000 kutoka Kigoma na kulala lodge.

Baada ya kufuatilia, nasikia watu walitumiwa mtihani kwenye group la whatsApp na wengine walikuwa wana-solve paper kwenye coaster wakitokea Dar

fb8dde03-7b6e-409a-a694-e06394ca8ba3.jpg


Hii nchi haipo fair kabisa ni bora tu wawe wanawachagua watu wao wawaingize kwenye mfumo kuliko kutusumbua na kutupa gharama katika hiki kipindi ambacho tunapambana na tozo na matatizo kibao, huku hatuna ajira, wanataka vijana tuanze kujinyonga na kunywa sumu kwa frustrations?

Pia, soma=> Usaili wa Tax Officers waahirishwa
 
Unazingua. Ukute umefaulu.emu tulia bana,watu kama nyie sijui mkoje,wakati nipo chuo kuna demu alienda kushitaki pia UE imevuja,huwa sijui mna akili gani nyie.hapo kuna wenzio kama wewe hawajauona unawaharibia

Sent using Jamii Forums mobile app

Hongera mzee, inaonekana wewe ni mmojawapo uliyepata kwa hiyo hutak issue iharibe ili utoboe!
 
Back
Top Bottom