Mtikila aibua mapya tume ya katiba

Mtikila aibua mapya tume ya katiba

Mawazo mazuri lakini yanatolewa na mtu siye makini wa kufanya utafiti naweza kusema kukurupuka na hoja.....! Nchi yenye tratibu nzuri ilizojiwekea hawezi kukaa siku suku tisini bila utawala wa kidemokrasia aliyechaguliwa .
tuandae utaratibu mzuri, tume huru ya uchaguzi all posible means of tranparency na baada ya uchaguzi aapishwe na kazi ziendelee pia in a agreable transparency way.
 
Waliobobea kwenye demokrasi kama marekani hukaa muda kidogo ndio aapishwe.
 
Mawazo mazuri lakini yanatolewa na mtu siye makini wa kufanya utafiti naweza kusema kukurupuka na hoja.....! Nchi yenye tratibu nzuri ilizojiwekea hawezi kukaa siku suku tisini bila utawala wa kidemokrasia aliyechaguliwa .
tuandae utaratibu mzuri, tume huru ya uchaguzi all posible means of tranparency na baada ya uchaguzi aapishwe na kazi ziendelee pia in a agreable transparency way.

.....haujaelewa,haimaanishi kuwa nchi itakuwa bila Rais kwa hizo siku tisini baada ya uchaguzi bali uchaguzi wa Rais ufanyike takribani siku 90 kabla Rais aliyeko madarakani hajamaliza muda wake....

....Hii ni muhimu sana kwa Rais aliyechaguliwa kuanza kujiandaa kutawala na kupanga safu yake....

....Haiyamkiniki leo hii akachaguliwa mtu ambaye hakuwa karibu na vibaraza vya ikulu kisha saa moja baada ya matokeo akabidhiwe utawala,ni lazima atatumia kipindi kirefu sana kuwa aware na masuala ya kujua anaanzia wapi,hili litamalizwa kwa mteule huyo kuwa na kipindi hicho,sio lazima siku 90 bali atleast siku 30....
 
"Aliongeza kuwa nafasi za wabunge wa viti maalumu bungeni ziondolewe ili viti hivyo vishindaniwe kidemokrasia.Alisema wanawake wanatakiwa waelimishwe na kupikwa ili wahimili ushindani katika medani za kisiasa."
Well said mchungaji plus iyo ya siku 90
 
attachment.php

Aliongeza kuwa nafasi za wabunge wa viti maalumu bungeni ziondolewe ili viti hivyo vishindaniwe kidemokrasia.Alisema wanawake wanatakiwa waelimishwe na kupikwa ili wahimili ushindani katika medani za kisiasa. Alisema kuwa taifa linahitaji viongozi bora na siyo kustarehesha jinsia.

Nice talking Reverend
 
Tena amesahau hili la wakristo kuwa na bucha zao na waislamu nao wawe na bucha zao ili kila mtu awe na uhuru wa kuchinja na kula/kuuza apedacho. Tumechoka kuchinjiwa na dhehebu moja kila siku. Katiba mpya ilitazame na hilo.
 
Ubarikiwe mch,mtikila,japo wanakuonaga mlugaluga lkn mambo yote uliyokuwa unayapigania enzi hizo leo wamenza kuyakubali eg mgombe binafsi
 
Mawazo mazuri lakini yanatolewa na mtu siye makini wa kufanya utafiti naweza kusema kukurupuka na hoja.....! Nchi yenye tratibu nzuri ilizojiwekea hawezi kukaa siku suku tisini bila utawala wa kidemokrasia aliyechaguliwa .
tuandae utaratibu mzuri, tume huru ya uchaguzi all posible means of tranparency na baada ya uchaguzi aapishwe na kazi ziendelee pia in a agreable transparency way.

Mkuu hiyo kauli hapo kwenye red nadhani itakurudia wewe kuliko Mtikila.. Uchaguzi wa Marekani ulifanyika Mwezi wa Nov mwanzoni.. Raisi anaapishwa mwezi wa January.. Marekani ni nchi iliojiwekea taratibu nzuri kama ulivyosema hapo juu..

Kwa hiyo inaonekana Mtikila alifanya tafiti zake na hakukurupuka maana mfano mmoja ndo huo hapo juu..
 
Mchungaji Mtikila bwana!!

Huyu jamaa huwa anafurahisha sana kwa hoja zake zenye mashiko. Huwaga hakurupuki hata siku moja. Mawazo yake ni msumali na yametulia.

Pale kwenye siku 90 za muda wa kungoja kuapishwa kwa Rais baada ya Uchaguzi Mkuu iwekwe wazi kwamba Uchaguzi Mkuu uwe unafanyika Septemba ili miezi ya Oktoba,Novemba na Desemba iwe katika siku 90 kama hakuna pingamizi lolote basi Rais Mteule aapishwe Januari tarehe yoyote baada ya mwaka mpya.

Saafi sana Rev. Mtikila.
 
Well said,hilo la mambo ya upendeleo linapaswa kufutwa mara moja watapendelewa mpaka lini na hii ndio inazidi kuwafanya wajione kama wao ni wa kupendelewa siku zote tunapaswa kuandaa mazingira ili kuwa na ushindani wa usawa sio upendeleo.

Haki ya kila raia kuchaguliwa na kuchagua
 
Rev. Mtikila ni chombo! Raisi anayeapishwa haraka haraka kama JK na Mwai Kibaki ni lack of confidence na kinga ya kulinda uchakachuaji dhahiri!!
 
Hakupewa bahasha na Rostam Aziz ...Ni mapendekezo mazuri sana.
 
Back
Top Bottom