jashmoe32
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 1,089
- 424
Mtu pekee ambaye hana chembe ya uoga kwa kile akiaaminicho.
Uko sahihi sana kaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu pekee ambaye hana chembe ya uoga kwa kile akiaaminicho.
na wewe ni mmoja wao!
Namkumbuka huyu REV. MTIKILA katika miaka ya tisini alikuwa anadai KATIBA na TANGANYIKA irudishwe, watu wengi walidhania ni chizi kutokana na lugha yake. Leo yale mawazo yake ndiyo yanapiganiwa na wengi. Huyu jamaa huwa ni MTAIFA sana, ila bahati mbaya watu wengi hawamuelewi. nakumbuka alishaipeleka serikali mahakamani akidai mgombea binafsi, alivyoshinda ile kesi PINDA akampotezea. Leo hii tunapigania mgombea BINAFSI.
Hajamtukana,hizo ni sifa alizonazo Sammy.Gabbage in, Gabbage out. Uteuzi wake unaweza kukupa picha halisi kuwa Sammy ni mtu wa aina gani!MTIKILA huwa haeleweki, pia ni mtu anae penda sana kesi. Akikoswa kesi ama ya kushitaki au kushitakiwa huwa hana raha kama mlevi kukosa pombe. Kwa hili amekosea, unaposema wajumbe wa baraza la katiba ni wahuni na washenzi, unakuwa umemtukana pia rais alie wateua hawa watu.
Kama unamkubali Mtikila mwenye chama chenye usajili wa kudumu ingawa wanachama wote alionao hawafiki 150, basi unamatatizo makubwa.
Mtikira ni kichaa tena mwathrika wa kisaikolojia, mtu akishakwenda jela hizi za kibongo ujue hatoki salama, maana kule chakula ni cha shida, ili ushibe wanyapara lazima wakuananihiiiiiiiii, sjui kama mch. alisalimika, mliokaribu naye mchunguzeni anaponyanyuka pale alipokuwa amekaa. Fanyeni hivi ndani ya siku 7 tu jibu litapatikana. Chezea nyapara weye.
MTIKILA huwa haeleweki, pia ni mtu anae penda sana kesi. Akikoswa kesi ama ya kushitaki au kushitakiwa huwa hana raha kama mlevi kukosa pombe. Kwa hili amekosea, unaposema wajumbe wa baraza la katiba ni wahuni na washenzi, unakuwa umemtukana pia rais alie wateua hawa watu.
Bunge la kutaka tu potsho kubwa badala ya kuangalia kilichowapeleka kujadili. Huyo mbunge aliyetoa hoja hafai kabisa kuwa mbunge wa nchi hii. Nasema kwa sababu yeye anataka kubomoa badala ya kujenga.Hizo 300000 kwa siku kwa mda wa siku 30 ni millionaire 18,000,000. Hii ni sawa na mshahara wa mtu wa sh.300,000 kwa mwezi kwa mda wa miaka 5. KAMA MSHAHARA WA MTU MMOJA KWA MIAKA MITANO ANAPEWA MBUNGE POSHO KWA MIEZI MIWILI TU AMBAYO NI MILIONI 90 KWA MWEZI HALAFU BADO ANALALAMIKA KUWA NI KIDOGO. JE, HUYU NI WA KUJENGA AMA KUBOMOA? HAFAI KUWA MBUNGE KABISA.
Majority doesnt mean they are right..... ccm wapo lukuki na tunaona kazi zao...
Hivi huyu ni mchungaji wa nn vile!!!??