Mtikila: Hili bunge la katiba limejaa wahuni na washenzi sijawahi kuona toka tupate uhuru


nina mashaka kama huyu mzee ni Mtanzania maana watanzania sio majasiri hivi!
 
Hajamtukana,hizo ni sifa alizonazo Sammy.Gabbage in, Gabbage out. Uteuzi wake unaweza kukupa picha halisi kuwa Sammy ni mtu wa aina gani!
 
Kama unamkubali Mtikila mwenye chama chenye usajili wa kudumu ingawa wanachama wote alionao hawafiki 150, basi unamatatizo makubwa.

Kwani wanaokukubali wewe, una wanachama wangapi?
Na ungependa amkubali nani?
Au umeipenda kauli ya Kizalendo lakini haukupenda mahala ilipotokea?
 
Mtikila yuko sahihi kabisa, mtu kama john komba, mwigulu nchemba, lusinde, sugu, bulembo, makonda, na wengineo, kweli wana hadhi ya kuingia kwenye bunge la katiba? Bunge hili limejaa wababaishaji na wapiga dili wakubwa, ndo maana kwao posho ndo namba moja! Hongera mtikila kwa kuwa wazi aisee!
 
hureeeeeeeeeeee

Tanzania haijawahi kuwa nchi ya demokrasia hata day 1
 

Nina wasiwasi na upeo wako!!
 

ulevi upo wa aina nyingi! usiseme pombe tu!
Ila jiulize mlevi akikwambia mbele kuna hatari utapuuza?
tafakari maneno ya mtikila!
 
Inasikitisha kuona wajumbe wakisema ati 300k/d haitoshi......halafu hao wanaopinga wanaogopa hata kujitokeza kusema hadharani kwa nini ni ndogo.....Namsikitikia Mhe. JK kwa hali ya mambo
 

HKL or KLF nenda kasome hisabati na sio hesabu.300,000/=X30 =18,000,000/= Tanzania nchi yangu nakuonea huruma.
Kweli na ww n GT¿?!¥₩§
 
Majority doesnt mean they are right..... ccm wapo lukuki na tunaona kazi zao...

Miaka 20 ya uanzishwaji chama una members 150? they should be something wrong somewhere in his big head.
chama n umoja uliothabiti. hujengwa na watu.
 
Jeshi la mtu mmoja
Ongera Mtikila kwa kuliona hilo maana nilifikiri tulioliona hilo ni sisi tulio nje ya hilo bunge mnaloliita la katiba.
 
Mtikira kichwa na mzalendo wa kweli, kumbuka aliyoyasema ya PK Ya kupandikiza watu na choko2 tuonazo sasa hivi za wanyaru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…