Mtikila: Hili bunge la katiba limejaa wahuni na washenzi sijawahi kuona toka tupate uhuru

Mtikila: Hili bunge la katiba limejaa wahuni na washenzi sijawahi kuona toka tupate uhuru

Haahaaa mpleke uone km hajkufunga ww. Umesahau ni majuzi tu alimtukana kikwete jamhuri ikamshtaki lakini akashinda?
Jamani ifike mahali watanganyika tutambue haki zetu si kuburuzwaburuzwa tu km watoto wadogo


Mtikila haburuziki ndugu
 
Wanabore sana wameona ndo sehemu ya kumalizia njaa zao wakae wakijua taifa wnalifilisi pia na wanabomoa msingi wa kuingoza nchi kama hawatafanya maamuzi ya kizalendo.
 
Mchungaji yupo sahihi kabsa manake wengne mule kwel ni wahun tu..wameenda ht kaz hawajaanza wanataka posho iongezwe,wanapiga kelele tu ht kanuni hawazijui
 
Hili bunge linalowaza posho. Eti wengine mpaka sasa hawana rasimu ya pili ya katiba wanasubiri kupewa baada ya kufika Dodoma. Kweli hili ni la vichwa maji
 
Mambo bado na hii katiba ya JK. Yeye mwenyewe kaunda tume, na sasa kachagua wajimbe wa BlK.
Kumbuka suala la katiba halimo kwenye ilani ya chama, hivyo hii inastahili kabisa kuitwa katiba ya JK. Ninawaza kwa sauti
 
Kikwete ana kazi kweli kweli,ila mtikila anachosema kina ukweli ndan yake

Unasema Mtikila sio mwoga? Mbona Enzi za Mwalim aliufyata na wala hakujulikana kabsaaaaa. Kama angekuwa jasiri basi angeanza kudai Tanganyika toka Enzi za Mwalim.
 
Back
Top Bottom