Mtikila amesambaza Waraka unaomtuhumu Kagame Kusambaza Wanyaranda 35,000 katika Tz na ameitaka serikali kuchukua hatua!!!
Ni jambo la Kushangaza Gvt inatumia Nguvu nyingi kulinda mpaka wa Malawi na Tanzania lakini Wamemwacha Kagame na Mseveni wakipenyeza Wanyarwanda 35,000 na wamehesabiwa katika sensa huku wakiendelea kuwatesa Raia!
Ni Ujinga mkubwa kuona kwamba Wanyarwanda wengi wameshaghushi Vyeti vya uraia na wengine wameanzisha makanisa kama alivyo Askofu Mulileghe Mkombo Kutoka DRC lakini Serikali badala ya kushughulika na Watu hao , inageuka na kuwatesa viongozi wa dini wanao pinga ufisadi ndani CCM na kuwakumbatia watu kama Mkombo ati kwa sababu anaombea viongozi wa Kitaifa!!!
Suala la kujiuliza ni Watanzania wangapi wanaweza kwenda Rwanda na kushika madaraka ra Serikali ya Rwanda na kuingiza mifugo huku wakitukana serikali ya Kagame???
Kama Wahutu wenye uraia wa Rwanda wamenyongwa kwa kuanzisha vyama vya upinzani sembuse Watanzania kuishi Rwanda???
Serikali itazame jambo hili kwa makini ikifikia Kagame na Joyce Banda wakaungana tunaweza kupata matatizo Makubwa!!!
Soma Waraka Wake Hapa:
Tatizo kubwa ni ccm na serekalia yake. Wameacha kushughulikia mambo muhimu ya kiuchumi na yenye tija kwa usalama wa nchi yetu, wao wamebaki wakitumia nguvu nyingi kuhamgaika na chadema, chama ambacho nikesajiliwa kisheria kwa taratibu za nchi na wala hakina silaha.
Serekali na viongozi wetu wame loose focus kabisa na hawajui nn maana yao kupewa uongozi wa nchi. Rwanda wako so strategic, sisi tumebaki na siasa tu. viongozi wote wa serekali, ccm na watawala na vyombo vya usalama wamebaki kuelekeza nguvu zote na resource kwenye chaguzi za madiwani na wenye viti wa vijiji nakuacha usala wa nchi rehani!! Ni aibusa.
Mimi naamini chadema hawana tatizo lolote kwa ccm ila hawa jamaa ndo wabaya.
Nashangaa chadema kuitwa gaidi na wala sii kagame! Tanzania tuko uchi na usalama wetu uko hatarini.
Tujiulize tu swali rahisi: ni wa Malawi wangapi wako majumbani kwetu kama wafanya kazi za ndani, ni wanyarwanda wangapi wako kwenye taasisi za serekali pamoja na usalama, ni wanyarwanda wangapi wameolewa na watanzania? Na je kwa upande wetu ni Watanzania wanagapi wanaweza kwenda kuishi Rwanda au malawi kama wao wanavyo fanya?
Ningeomba tu ccm hasa viongozi wetu Mwigulu, Nape, Kinana, Nchimbi na JK wa achane na chadema wa hangaike na hawa magaidi wa kweli! Hizi siasa zinaweka usalama wa nchi pabaya.