Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba


hawa watusi wanadharau sana, kama si dharau ni ujuha uliopitiliza eti kununua ardhi na nyumba ya mzawa umemfaidisha natamani hata nitapike. mkoa wa kagera ulikuwa juu sana kimaendeleo lakini sasa ni karibia wa mwisho maana hawa watusi wanapora na kupeleka kwao kama wanavyofanya kwa mali asili ya wakongo.
 

bado mpaka leo hujamtambua Mtikila?
 
tuangalie isijekuwa ni usambazaji wa chuki zitakazoleta results za kulichafua taifa letu kwa hatua zile tutakazozichukua. tuwe makini jamani. hili jambo si la kwenda nao haraka, twende polepole tukijua hao jamaa nao ni majirani zetu, leo kwao kesho kwetu.
 
naona wanatutafuta hawa wanyarwanda na kama ataendelea kuleta hao vinyago wake tena hapa tz anatafuta balaa
 
TISS wanajua sana kuhusu haya...Usidhani Order ya kikwete imetoka tu hivi hivi...something is going on....
 
Nina mashaka na baadhi ya tafiti zake ila inaonesha anawapasha habari wa kutosha kutokea eneo la mpakani.
 
ndo maana jk karudisha jkt kwa mujibu,chezea rais mjeshi we ndo maana machale yeshamcheza....
 
Miezi mingi imepita tokea Mtikila aongelee hili suala na kuna watu humu walimkachifu huyu mzee, sasa nadhani umeona nani zaidi kati ya mtikila na hao wanausalama . Ni mambo ya ajabu mtu km mtikila ana infrmation nyeti , usalama hawana. Leo ndy serikali inakurupuka wakati jamaa wanajua serikali na nchi kwa ujumla km makalio yao. Ni upumbavu ulioje
 
Watanzania tuwe makini na uvamiz huu uliopenyezwa ktk sekta mbalimbali nchini mwetu na madikteta kagame na musevén
 

sasa maneno yaliyopo kwenye waraka yanaanza kudhihilika wazi wazi watu walimpuuza ila sasa kila kitu hadharani
 
nimeishiwa nguvu kama ni kweli,but hatakama sio kweli, c vema yakapuuzwa yafuatiliwe kujua ukweli wa kila content na hatua zichukuliwe coz no future kama kunaukweli ndani ya haya makubwa.hadi najuta why nilifungua hii post.better nisinge yajua.
 
hakuna ubishi kuwa jiji la dsm limejaa wahamiaji haramu kuanzia sinza, tegeta wanayo maduka mengi na wanaishi kama watz, wamejichanganya maeneo mengi sana hapa dsm na si rahisi kwao kujulikana. wengi wao wanajiita waha toka kigoma, wengine wanajiita wahaya. naomba serikali ile operation ya kagera kigoma rukwa ikimalizika, tuanze na jiji na dsm na mwanza. mwanza ndio wamejaa wengi wa kumwaga. mji wa kahama ndio matajiri walio wengi ni wanyarwanda, na makahaba wa kahama na mwanza walio wengi wametoka rwanda. wale wa kahama nenda bar ya bijampola ujipakulie wa kumwaga. wanunuzi wakubwa wa mchele shinyanga ni wanyarwanda, wamejenga sana kahama, shinyanga, runzewe, biharamuro ndio usiseme.. kule kwetu kigoma asilimia kubwa ni wao.
 
isaidie uhamiaji kuwatambua ili uzalendo wako ukamilike.Ninatanguliza shukurani zangu za dhati
 
Muache wivu na majungu wabongo! Majengo na mali zao walizowekeza ndiyo vinakufanya useme wafukuzwe! Huna lolote kalime tu kama una machungu.Hivi wakiacha hizo mali zao utazirithi wewe?
 
watakwambia uwapelekee list na ushahidi -- ha ha ha
 
Heee kumbe na wewe mnyarwanda haya anza kufungasha
Muache wivu na majungu wabongo! Majengo na mali zao walizowekeza ndiyo vinakufanya useme wafukuzwe! Huna lolote kalime tu kama una machungu.Hivi wakiacha hizo mali zao utazirithi wewe?
 
Kwa hii serikali ya kipuuuzi, hawawezi kabisa kulifanyia kazi ombi lako, na usifikiri kwamba hawajui kama kuna wahamiaji haramu hapa Dar, wanajua fika... Ila sema upuuuzi na akili zao fupi ndio tatizo...
 
Jishughulishe na wewe upate chako! siyo upate uchungu kwa ajili ya jasho la mwenzio @ Leomimi
 
Acha ubaguzi Wako wewe, wasomali ndugu zake Kinana, wahindi ndugu zake Rostam na wachina WA Riziwani wamejaa kibao huko Dar wanatembeza hadi chupi na sidiria hamuwasemi, nyie na wanyarwanda tu kisa Kagame ana bifu na Kikwete kwa maslahi Yao binafsi katika kuiba mali za Kongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…