Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

Hizo tabia za kuchinjana kwa sababu ya ukabila mnazo huko kwenu rwanda. Mnakumbuka nyie watutsi mlivomuua kikatili Rais Ndadaye wa Burundi? Afu pia hatuhitaji mu invest huku kwetu kwa sababu ya tabia zenu za kushetani...mna mambo ya chini chini sana na ya siri siri. Nyie ni watu wa baguzi sana na mliojaa roho mbaya za kushetani. Mnataka mkaribishwe halafu baadae muanze kuleta vurugu km mnazofanya Kongo ili muunganishe mikoa ya Kagera na Kigoma kwenye nchi yenu! Hizo ndoto zenu kwa TZ hazitakaa zitimie kamwe. Mrudi mka invest kwenu. Hatuwataki hapa TZ

hawa watusi wanadharau sana, kama si dharau ni ujuha uliopitiliza eti kununua ardhi na nyumba ya mzawa umemfaidisha natamani hata nitapike. mkoa wa kagera ulikuwa juu sana kimaendeleo lakini sasa ni karibia wa mwisho maana hawa watusi wanapora na kupeleka kwao kama wanavyofanya kwa mali asili ya wakongo.
 
Huyu jama anayejiita mchungaji huwa nashindwa kabisa kumwelewa ni nini asa plan ake.
maana sam times anajipendekeza serekalini mara apingane na serikali. Sijui nini anataka pengini ubunge wa viti maalum kama Mbati.
Embu nisaidieni wana jf kwa anayemsoma huyu jamaa aliyeshindwa uchungaji na siasa maana chama chake akina ata diwani.

bado mpaka leo hujamtambua Mtikila?
 
tuangalie isijekuwa ni usambazaji wa chuki zitakazoleta results za kulichafua taifa letu kwa hatua zile tutakazozichukua. tuwe makini jamani. hili jambo si la kwenda nao haraka, twende polepole tukijua hao jamaa nao ni majirani zetu, leo kwao kesho kwetu.
 
naona wanatutafuta hawa wanyarwanda na kama ataendelea kuleta hao vinyago wake tena hapa tz anatafuta balaa
 
TISS wanajua sana kuhusu haya...Usidhani Order ya kikwete imetoka tu hivi hivi...something is going on....
 
Nina mashaka na baadhi ya tafiti zake ila inaonesha anawapasha habari wa kutosha kutokea eneo la mpakani.
 
ndo maana jk karudisha jkt kwa mujibu,chezea rais mjeshi we ndo maana machale yeshamcheza....
 
Miezi mingi imepita tokea Mtikila aongelee hili suala na kuna watu humu walimkachifu huyu mzee, sasa nadhani umeona nani zaidi kati ya mtikila na hao wanausalama . Ni mambo ya ajabu mtu km mtikila ana infrmation nyeti , usalama hawana. Leo ndy serikali inakurupuka wakati jamaa wanajua serikali na nchi kwa ujumla km makalio yao. Ni upumbavu ulioje
 
Watanzania tuwe makini na uvamiz huu uliopenyezwa ktk sekta mbalimbali nchini mwetu na madikteta kagame na musevén
 
kenyatta hosts east african heads of state on wednesday






nairobi, kenya: the second east african community heads of state infrastructure investment summit will take place on wednesday in an effort to bolster trade ties and regional integration.



from left: Presidents paul kagame of rwanda, yoweri museni of uganda and kenya’s uhuru kenyatta during a meeting earlier this year. (photo:reuters)


the summit which will be held at the sarova whitesands hotel in mombasa is a follow up to the first one held in entebbe, uganda, in june this year.
President uhuru kenyatta who jetted back in the country on tuesday evening (from a tour to russia, china and united arab emirates) will host other heads of state expected to attend the summit among them presidents paul kagame of rwanda, yoweri museveni of uganda, pierre nkurunziza of burundi and salva kiir of south sudan.
The uganda summit hosted by museveni had uhuru and kagame in attendance.
During the meeting, they resolved to include other heads of state in the east african region.
The three heads of state also resolved to strengthen the east african infrastructure network, among other initiatives, aimed at enhancing cross-border trade as well as deepening the integration of the east african economies.
Uhuru called upon east african community (eac) member states to move fast and put in place a conducive investment environment that will attract foreign and domestic investors.

sasa maneno yaliyopo kwenye waraka yanaanza kudhihilika wazi wazi watu walimpuuza ila sasa kila kitu hadharani
 
nimeishiwa nguvu kama ni kweli,but hatakama sio kweli, c vema yakapuuzwa yafuatiliwe kujua ukweli wa kila content na hatua zichukuliwe coz no future kama kunaukweli ndani ya haya makubwa.hadi najuta why nilifungua hii post.better nisinge yajua.
 
hakuna ubishi kuwa jiji la dsm limejaa wahamiaji haramu kuanzia sinza, tegeta wanayo maduka mengi na wanaishi kama watz, wamejichanganya maeneo mengi sana hapa dsm na si rahisi kwao kujulikana. wengi wao wanajiita waha toka kigoma, wengine wanajiita wahaya. naomba serikali ile operation ya kagera kigoma rukwa ikimalizika, tuanze na jiji na dsm na mwanza. mwanza ndio wamejaa wengi wa kumwaga. mji wa kahama ndio matajiri walio wengi ni wanyarwanda, na makahaba wa kahama na mwanza walio wengi wametoka rwanda. wale wa kahama nenda bar ya bijampola ujipakulie wa kumwaga. wanunuzi wakubwa wa mchele shinyanga ni wanyarwanda, wamejenga sana kahama, shinyanga, runzewe, biharamuro ndio usiseme.. kule kwetu kigoma asilimia kubwa ni wao.
 
isaidie uhamiaji kuwatambua ili uzalendo wako ukamilike.Ninatanguliza shukurani zangu za dhati
 
Muache wivu na majungu wabongo! Majengo na mali zao walizowekeza ndiyo vinakufanya useme wafukuzwe! Huna lolote kalime tu kama una machungu.Hivi wakiacha hizo mali zao utazirithi wewe?
 
watakwambia uwapelekee list na ushahidi -- ha ha ha
 
Heee kumbe na wewe mnyarwanda haya anza kufungasha
Muache wivu na majungu wabongo! Majengo na mali zao walizowekeza ndiyo vinakufanya useme wafukuzwe! Huna lolote kalime tu kama una machungu.Hivi wakiacha hizo mali zao utazirithi wewe?
 
Kwa hii serikali ya kipuuuzi, hawawezi kabisa kulifanyia kazi ombi lako, na usifikiri kwamba hawajui kama kuna wahamiaji haramu hapa Dar, wanajua fika... Ila sema upuuuzi na akili zao fupi ndio tatizo...
 
Jishughulishe na wewe upate chako! siyo upate uchungu kwa ajili ya jasho la mwenzio @ Leomimi
 
Acha ubaguzi Wako wewe, wasomali ndugu zake Kinana, wahindi ndugu zake Rostam na wachina WA Riziwani wamejaa kibao huko Dar wanatembeza hadi chupi na sidiria hamuwasemi, nyie na wanyarwanda tu kisa Kagame ana bifu na Kikwete kwa maslahi Yao binafsi katika kuiba mali za Kongo
 
Back
Top Bottom