chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 902
Mtikila ni mwanasiasa na mwanaharakati wa kweli, tatizo yupo ofisi mbovu tu (chama chake)
Tukipata watu watatu tu walio kama Mtikila bila shaka tutashinda!
Wee uchokozi wa mwaka mpya huo.........lol
aBwana mkubwa tatizo ni nini? msomali au mtutsi? Mmalawi au mjaluo? Si bora hao watutsi tunaopakana nao kuliko wasomali, Je hujui kuwa mwanajeshi Nyirenda aliyepandisha bendera mlima kilimanjaro alikuwa mmalawi? Angalia ramani ya Tanzania, tunapakana na nchi lukuki na raia wa mipakani hata kabla mzungu hajachora hiyo mipaka walikuwa wana move kutoka sehemu moja hadi ingine. Chokochoko dhidi ya watutsi inatokana na dhana potofu inayohubiriwa na watu wa dini fulani kuwa watutsi wana asili ya kiyahudi, na hiyo dini haina mapenzi mema na wayahudi. Vinginevyo, wazee wa Kilosa walitamka hadharani kuwa Mkulo ni mmalawi lakini mkuu wa kaya aliendelea kumpa uwaziri wa fedha hadi kazi ilipomshinda, Wazalendo kama wewe mlikuwa wapi? Mkuu wa ccm ni msomali tena mwindaji wa tembo, mbona uko kimya?? biashara kubwa na raslimali zote za nchi yako haziko mikononi mwa raia, wewe unakasirikia wafugaji wa kinywaranda? hayo ndo mambo ya msingi ambayo unabidi ujiulize mara mbili mbili kuliko hao maskini watutsi ulio nao sua.
Ki historia wanyarwanda na warundi ni wafugaji na wafuagaji wanahama hama kutafuta malisho, wafugaji si wamefika na kufanya vita rufiji na maeneo mbali mbali ya morogoro?? Je huko nako ni wanyarwanda wamechukua ardhi ya tanganyika?Nakumbuka maisha yangu ya utotoni kwenye 1970's huku kwetu maeneo ya Musoma, hawa jamaa walikuwa wanakuja vijijini kuomba kazi ya kuchunga ng'ombe, walikuwa wanaitwa "abha kanga" kwa kilugha chetu, mshahara wao ulikuwa ni maziwa, akishakamua anajipimia kiasi cha maziwa anachotaka. Watu wa maeneo ya ukanda huu hawa ni ndugu zetu, hata lugha tunazoongea zina maneno mengi yanayofanana, majina ya watu, maeneo na vitongoji vinafanana kwa kiasi fulani, tumekuwa nao pamoja kabla ya kuwajua wazaramo au wandengeleko, Huko nyumba ukanda huu watu wahakuwa wapenzi wa RTD, walikuwa wana tune radio rwanda kigali, kupata miziki ya uhakika, sikinde sijui ngoma ya ukae yalikuwa ya huko daslam
Mimi nimefurahi kuona kwamba hata Wanyarwanda wanachangia Thread hii kujitetea!!!
Bwana mkubwa tatizo ni nini? msomali au mtutsi? Mmalawi au mjaluo? Si bora hao watutsi tunaopakana nao kuliko wasomali, Je hujui kuwa mwanajeshi Nyirenda aliyepandisha bendera mlima kilimanjaro alikuwa mmalawi? Angalia ramani ya Tanzania, tunapakana na nchi lukuki na raia wa mipakani hata kabla mzungu hajachora hiyo mipaka walikuwa wana move kutoka sehemu moja hadi ingine. Chokochoko dhidi ya watutsi inatokana na dhana potofu inayohubiriwa na watu wa dini fulani kuwa watutsi wana asili ya kiyahudi, na hiyo dini haina mapenzi mema na wayahudi. Vinginevyo, wazee wa Kilosa walitamka hadharani kuwa Mkulo ni mmalawi lakini mkuu wa kaya aliendelea kumpa uwaziri wa fedha hadi kazi ilipomshinda, Wazalendo kama wewe mlikuwa wapi? Mkuu wa ccm ni msomali tena mwindaji wa tembo, mbona uko kimya?? biashara kubwa na raslimali zote za nchi yako haziko mikononi mwa raia, wewe unakasirikia wafugaji wa kinywaranda? hayo ndo mambo ya msingi ambayo unabidi ujiulize mara mbili mbili kuliko hao maskini watutsi ulio nao sua.
Ki historia wanyarwanda na warundi ni wafugaji na wafuagaji wanahama hama kutafuta malisho, wafugaji si wamefika na kufanya vita rufiji na maeneo mbali mbali ya morogoro?? Je huko nako ni wanyarwanda wamechukua ardhi ya tanganyika?Nakumbuka maisha yangu ya utotoni kwenye 1970's huku kwetu maeneo ya Musoma, hawa jamaa walikuwa wanakuja vijijini kuomba kazi ya kuchunga ng'ombe, walikuwa wanaitwa "abha kanga" kwa kilugha chetu, mshahara wao ulikuwa ni maziwa, akishakamua anajipimia kiasi cha maziwa anachotaka. Watu wa maeneo ya ukanda huu hawa ni ndugu zetu, hata lugha tunazoongea zina maneno mengi yanayofanana, majina ya watu, maeneo na vitongoji vinafanana kwa kiasi fulani, tumekuwa nao pamoja kabla ya kuwajua wazaramo au wandengeleko, Huko nyumba ukanda huu watu wahakuwa wapenzi wa RTD, walikuwa wana tune radio rwanda kigali, kupata miziki ya uhakika, sikinde sijui ngoma ya ukae yalikuwa ya huko daslam
Mimi nimefurahi kuona kwamba hata Wanyarwanda wanachangia Thread hii kujitetea!!!
Lakini muwe wakweli , ni watanzania wangapi wamepora ardhi ya Kagame Rwanda???
Ni Watanzania Wangapi wameshika madaraka Rwanda??
Kwa nini Kgame anafukuza Wahuntu???
Unataka kumudanganya nani??Nashukuru na ninafurahi ninapokutana na watu wenye akili fupi kama yako.
Nafikiri ungejiuliza kwa nini barack obama alisaini muswada wa kupunguza masharti dhidi ya wageni kwa sababu imeonekana wageni wengi ndio wanacreate jobs USA.
Hahahhahahahhahahaha hahhahahahah
siwezi kukaa kujivunia utanzania na kuwaponda wengine ilhali mimi ni masikini,je hujui kuwa kuna viongozi wako nao wana mali huko nje ya nchi hii?je wewe kama mtanzania nini kinachokuzuia kwenda huko na wewe ukanunue unabaki kunung'unika tu,bora tungekuwa na ushahidi kuwa kuna watz walienda kununua ardhi huko wakapigwa chini hapo inabidi kuangalia zaidi lakini hii ya kulala mika?tutajenga taifa la watu wanaolalamika,mtu anakuja anamchukua mkeo badala ya kureact unalalamika,
STOP MURMURING
mtikila ni mwanasiasa na mwanaharakati wa kweli, tatizo yupo ofisi mbovu tu (chama chake)
tukipata watu watatu tu walio kama mtikila bila shaka tutashinda!
Nashindwa kumuita Mtikila Rev, kwa sababu moja ya sifa kuwa mchungaji ama Padri ama Shemasi ama Shehe ni kuwa mwangalifu wa kutumia ulimi na kalamu yako vema, taarifa hii iliyoandikwa ni upotoshaji mkubwa wa ukweli na kuonyesha kutokuwa mkmavu wa fikra sasa hivi ukiona mtu anaanza kumkashifu Baba wa Taifa ujue basi..!!
Nchi ya Rwanda sasa na amani iliyopo na heshima inayopata kimataifa sio kitu cha kupuuzwa, angalia kiti kwenye umoja wa mataifa (Security council) kwa kura za kishindo, na mtikila na mkeo tunajua mlikotoka na ubini wenu - Burundi sasa unakaa hapa kupotosha ukweli acha kutudanganya na kama bado unabeba UHUTU wako huna nafasi katika dunia ya sasa..!!
Nashukuru na ninafurahi ninapokutana na watu wenye akili fupi kama yako.