THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
nitarudi badae
ila mtikila sio wa kupuuzwa kwa hilo
ila mtikila sio wa kupuuzwa kwa hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtikila anakurupuka! Huo waraka wake hauna msingi wowote! Kama vip aache dini aingie kwenye siasa! Mshika mbili moja humponyoka! Tz inalinda mipaka yake na usalama wa raia ila ni chuki zakae binafsi na kutaka kuchafua ccm. Mtikila a.k.a wa kutoa hoja zisizo na msingi.
habari hii nimeisoma sijaimaliza maana machozi yamenitoka, sisi nyumbani kwa kweli tulikuwa tumejaliwa maana kilimo cha kahawa kilitutoa sana kabla ya CCM na Vibaraka wake kuua KCU, tulikuwa na wapagazi wawili, moja ni mtusi, mmoja mnyarwanda, wote walikuwa wanaongea lugha zinafanana hata sisi warijaribu kutufundisha. Nyarwandwa alikuwa anatuchungia ng'ombe wetu, Mrundi alikuwa akilima magugu maji (Rumbungu) na kupalilia. Wakati vita imepamba moto nyarwanda alimuua mwenzie na kukimbilia rwanda, tukaajiri wengine, nao vita ilivyopamba moto waliiba ngombe wetu 30 na kutokomea wakatuachia umaskini, tulianza kusoma kwa shida sana kwani kahawa zilikosa mbolea na kufa, angalau ulikuwa ukikosa karo baba anakuambia tafta soko la ng'ombe wawili uuze. Wdogo wangu wengi waliishia form 2 kwa sababu ya umaskini. watu hawa huwa sitaki kuwasikia kabisa walitutia umaskini sana. Mtikila ongeza juhuzi tukomeshe hawa ngedele.
MENGINE YANA UKWELI NA MENGINE NI CHUKU TUUU YA WATUTSI, Me naona Kagame na Mseveni wanaiba kivyaoo ila kuhusisha sijui na serukama mara sijui nani hizo ni chuki za ziada!