Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

kumbe lengo kuu la kagame, inasemekana anao mpango in the near future, kuteka maeneo ya Kagera,Ngara, Karagwe na sehemu za mkoa wa Kigoma, kuwa maeneo ya Rwanda kama alivyokuwa amefanya idi amin dadaa kwa mkoa wa kagera. inasemekana kuna imani huko Rwanda kuwa maeneo hayo yalikuwa ni maeneo ya Rwanda miaka hiyo ndio maana watu wa maeneo hayo wanakaribiana kwa kufanana sura.

kuna mpango wa kuja kuivamia tz....hahaha. hivi, chukulia mfano, maeneo ya katavi,kibondo, karagwe,bukoba,ushirombo, kahama, biharamulo n.k ambako asilimia kubwa ya wakazi ni asili ya Rwanda, siku wakianzisha vurumai kama walivyoianzisha goma, wanataka kukata vipande kadhaa vya Tanzania maeneo hayo hapo juu na maeneo kadhaa ya congo, ili nchi ya Rwanda ambayo ni ndogo kulingana na watu, walau wapate maeneo ya ku extend. TANZANIANS BEWARE OF THIS, tufukuze hawa watu warudi kwao wote, asibaki hata mmoja kama tunataka amani kwa nchi yetu. sasa hivi hatuwezi kuona madhara, lakini kwa miaka ya baadaye, watoto na wajukuu wetu wataingia tu vitani. amini usiamini. mpaka kati yetu na nchi hizo uwekwe vizuri kuanzia leo, na jeshi liwekwe kule.

tatizo ni kwamba, tukiwaruhusu wakiwa raia tu, watakuwa wanapigana wakijifanya wao ni raia wa tz kama wanavyopigana kule congo, na rwanda wamepakana nayo watakuwa wana pata suply ya silaha.
Habari yako inakosa mashiko kwa kuwa haina chanzo cha kuaminika!
Umefikiaje conclusion ya hoja yako?
Umesikia kwenye hotuba, umeona dokomenti fulani, au umepata wapi?
 
huwa simuamini mtu anayeleta habari serious halafu katikati analeta kicheko kama cha le mutuz cha masihara(ahahaha).get serious wewe!!!habari yenyewe imekaa kama stori za kwenye kahawa.
 
wewe mleta mada ni kabila gani!? Hivi unajua kuwa Wangoni asili yao ni Afrika ya Kusini!?
Wahamiaji kutoka nchi jirani katika mkoa wa Kagera wapo kabla hata Kagame hajazaliwa achia tu kuwa rais. Ungelikuwa na uwezo mzuri wa kufikiri ungetafuta zaidi chanzo cha ugomvi wa hawa jamaa ungetusaidia badala ya kuja na hoja nyepesi kama hii kwenye jambo serious. Kumbuka wanaoitwa wahamiaji haramu wanamiliki mashamba na hata makundi ya mifugo!
 
yawezekana kabisa mbona Israel ni nchi ndogo inawachapa waarabu(waislamu) dunia nzima. HAHA HAHA israel ni noma.
Israel ni taifa teule la MUNGU ndo mana wana nguvu ya ajabu kiasi hicho...si unakumbuka hata ile "SIX DAYS WAR" ndugu. Lakini rwanda ni taifa ambalo shetani ndio mungu wao kwa sababu ya mauaji makubwa waliyoyafanya; hivyo tusilinganishe rwanda na ISRAEL..
 
Ariko se ubundi uyu mushinga watangiye ryari?

Umushinga wo gukora empire Hima bivugwa ko watangiye mu 1960 ubwo abatutsi bari bahunze u Rwanda muri révolution yo muri '59, bakanyanyagira mu bihugu bikikije u Rwanda: Burundi, RDC, Tanzania n'Ubuganda. Abahungiye muri RDC nibo bazanye iki gitekerezo, kubera ko bageze muri RDC bakiriwe neza cyane, babona ko abakongomani ari abantu batagize icyo bitaho, ku buryo basanze byoroshye kubacengera bakagenda bigarurira imyanya y'ubutegetsi gahoro gahoro. (Urugero rwa Bisengimana wari umuyobozi w'ibiro bya perezida Mobutu). Igitekerezo cyo gukolonisa Kivu, kuko ariho bari birunze, cyashyizwe mu bikorwa banagikwiza mu bandi batutsi bari hirya no hino !
 
Wanyarwanda wananunua sana nyumba na viwanja Kahama na Ushirombo kwa jina la wahangaza,wahaya,na wasubi ambao kwa asili ni wenyeji wa mkoa wa Kagera.Nchi hii haina umakini katika mambo mengi kwa hiyo hakuna linaloshindikana kama kweli watutsi wakiamua hivyo

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Inawezekana wanajamii wenzangu coz taarifa nyingi watumishi wa serikarini wanazipata kwenye makaratasi hawaendi field hii inasababisha mwanya wa wao kupewa taarifa za uongo
 
Mtikila amesambaza Waraka unaomtuhumu Kagame Kusambaza Wanyaranda 35,000 katika Tz na ameitaka serikali kuchukua hatua!!!
Ni jambo la Kushangaza Gvt inatumia Nguvu nyingi kulinda mpaka wa Malawi na Tanzania lakini Wamemwacha Kagame na Mseveni wakipenyeza Wanyarwanda 35,000 na wamehesabiwa katika sensa huku wakiendelea kuwatesa Raia!

Ni Ujinga mkubwa kuona kwamba Wanyarwanda wengi wameshaghushi Vyeti vya uraia na wengine wameanzisha makanisa kama alivyo Askofu Mulileghe Mkombo Kutoka DRC lakini Serikali badala ya kushughulika na Watu hao , inageuka na kuwatesa viongozi wa dini wanao pinga ufisadi ndani CCM na kuwakumbatia watu kama Mkombo ati kwa sababu anaombea viongozi wa Kitaifa!!!

Suala la kujiuliza ni Watanzania wangapi wanaweza kwenda Rwanda na kushika madaraka ra Serikali ya Rwanda na kuingiza mifugo huku wakitukana serikali ya Kagame???
Kama Wahutu wenye uraia wa Rwanda wamenyongwa kwa kuanzisha vyama vya upinzani sembuse Watanzania kuishi Rwanda???
Serikali itazame jambo hili kwa makini ikifikia Kagame na Joyce Banda wakaungana tunaweza kupata matatizo Makubwa!!!
Soma Waraka Wake Hapa:

Ndiyo haya nawambia watanzania,kwanza wewe inaonekana ni murundi,mnyarwanda au mcongomani mwenye siasa kali dhidi ya watusi,hawa watu wataleta matatizo makubwa kwa tanzania na rwanda,kwani tulikua majirani wema kabisa,haya ya mtikila imeisha bainika kwamba hiyo article siyo yake niya muhutu mmoja mwenye siasa kali dhidi ya watusi,yeye mtikila alitumiwa na nahuyo muhutu,kwani mtikila mke wake ni muhutu wa burundi wote ni mamoja,sasa kwa sababu ya uloda anaopata toka kwa mkewake mtikila kaamua kua adui ya watusi,ni ajabu mchungaji mzima kuunga mkono unyanyasaji wa mwanadamu eti kisa amezaliwa mtusi,kwahilo mungu atamuuliza,kuhusu watanzania kushika madaraka rwanda,rwanda kuna wakenya,watanzania,waganda wenyenyazifa katika serikali na mashirika yake,huku niujuzi unao thaminiwa sio uraia,kama mtu anaweza kuleta change anapewa kazi,waulize walio fika rwanda watakueleza,muache kukaa jamvini na kuzusha mambo ya uchonganishi tu kisa humtaki mtusi,pole sana utakufa kwa shinikizo la damu ndugu yangu usipo punguza hasira.
 
Wanyarwanda wananunua sana nyumba na viwanja Kahama na Ushirombo kwa jina la wahangaza,wahaya,na wasubi ambao kwa asili ni wenyeji wa mkoa wa Kagera.Nchi hii haina umakini katika mambo mengi kwa hiyo hakuna linaloshindikana kama kweli watutsi wakiamua hivyo

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Mimi nilifikiri wananyanganya watanzania mali zao kumbe wananunua? sasa mtu akinunua nyumba yako nani anafaidika? kwanza hiyo nyumba hataiamisha itabaki tanzania,pili kama anaifanyia biashara atalipa kodi hiyo ni yawatanzania,ajabu rwanda wanahitaji watu wanje akiwemo watanzania waje wajenge manyumba kwa wingi kwani itakua faida kwa wananchi wa rwanda,watapata nyumba zakukodisha za bei rahisi,kama ni za biashara wananchi watapata ajira,watu kamanyie ndio wale mkiambiwa mshike mapanga muanze kuchinja watusi utakuta ndio mnakua wa kwanza kwani hujui faida yake kwa ku invest katika nchi yako.
 
huwa simuamini mtu anayeleta habari serious halafu katikati analeta kicheko kama cha le mutuz cha masihara(ahahaha).get serious wewe!!!habari yenyewe imekaa kama stori za kwenye kahawa.

Muwe makini watanzania,watu wanaorudirudia kuleta mada za pk na jk niwapinzani wa serikali ya kigali,wamejaribu kuundoa uongozi wakigali wameshindwa,sasa wanafikiri kwa kuitumia tanzania kuingia vitani na rwanda ndio itawasaidia,ndio maana mtaendelea kuona hizi topic zikirejerejea kwa mitindo tofauti ilimradi watanzania watokwe povu,lakini mimi naamini hapatakua vita kati yanchi hizi mbili kama pande zote zikiwa makini na kuondoa tofauti zao.
 
Watanzania hatuhitaji kuingia vitani na nchi yoyote ile. Lkn pia hatutakaa kimya iwapo tutachokozwa na wapenda vita kama watutsi! Sasa unasema eti haya yameletwa na wapinzani wa kagame wakati sisi wote tumemsikia huyo mwanamke mushikiwabo akitoa maneno ya kejeli kwa Mh Rais Kikwete na baadaye huyo dikteta wenu kagame aliyejaa damu za watu mikononi mwake akaongezea maneno ya kashfa. Ila sishangai, nyie watutsi ni wazuri sana kutengeneza uongo na kusingizia wengine! Ila MUNGU atawahukumu kwa wakati wake. Damu ya watu wasio na hatia mnayoimwaga huko Kongo haitaenda bure, MUNGU anaona na atawalipiza tu!
 
Mimi nilifikiri wananyanganya watanzania mali zao kumbe wananunua? sasa mtu akinunua nyumba yako nani anafaidika? kwanza hiyo nyumba hataiamisha itabaki tanzania,pili kama anaifanyia biashara atalipa kodi hiyo ni yawatanzania,ajabu rwanda wanahitaji watu wanje akiwemo watanzania waje wajenge manyumba kwa wingi kwani itakua faida kwa wananchi wa rwanda,watapata nyumba zakukodisha za bei rahisi,kama ni za biashara wananchi watapata ajira,watu kamanyie ndio wale mkiambiwa mshike mapanga muanze kuchinja watusi utakuta ndio mnakua wa kwanza kwani hujui faida yake kwa ku invest katika nchi yako.

Hizo tabia za kuchinjana kwa sababu ya ukabila mnazo huko kwenu rwanda. Mnakumbuka nyie watutsi mlivomuua kikatili Rais Ndadaye wa Burundi? Afu pia hatuhitaji mu invest huku kwetu kwa sababu ya tabia zenu za kushetani...mna mambo ya chini chini sana na ya siri siri. Nyie ni watu wa baguzi sana na mliojaa roho mbaya za kushetani. Mnataka mkaribishwe halafu baadae muanze kuleta vurugu km mnazofanya Kongo ili muunganishe mikoa ya Kagera na Kigoma kwenye nchi yenu! Hizo ndoto zenu kwa TZ hazitakaa zitimie kamwe. Mrudi mka invest kwenu. Hatuwataki hapa TZ
 
Ndiyo haya nawambia watanzania,kwanza wewe inaonekana ni murundi,mnyarwanda au mcongomani mwenye siasa kali dhidi ya watusi,hawa watu wataleta matatizo makubwa kwa tanzania na rwanda,kwani tulikua majirani wema kabisa,haya ya mtikila imeisha bainika kwamba hiyo article siyo yake niya muhutu mmoja mwenye siasa kali dhidi ya watusi,yeye mtikila alitumiwa na nahuyo muhutu,kwani mtikila mke wake ni muhutu wa burundi wote ni mamoja,sasa kwa sababu ya uloda anaopata toka kwa mkewake mtikila kaamua kua adui ya watusi,ni ajabu mchungaji mzima kuunga mkono unyanyasaji wa mwanadamu eti kisa amezaliwa mtusi,kwahilo mungu atamuuliza,kuhusu watanzania kushika madaraka rwanda,rwanda kuna wakenya,watanzania,waganda wenyenyazifa katika serikali na mashirika yake,huku niujuzi unao thaminiwa sio uraia,kama mtu anaweza kuleta change anapewa kazi,waulize walio fika rwanda watakueleza,muache kukaa jamvini na kuzusha mambo ya uchonganishi tu kisa humtaki mtusi,pole sana utakufa kwa shinikizo la damu ndugu yangu usipo punguza hasira.

Mtikila hajawahi kujitokeza na kuukana huo waraka wake! Wewe ndo umekua msemaji wake? Ona ulivojaa roho ya chuki na ubaguzi kuonyesha your typical tutsi behavior ya kuwaona hao ambao sio watutsi km sio watu! Unasema wacongoman, warundi na wanyarwanda wana siasa kali dhidi ya watutsi, unaweza kueleza ni kwa nini? Kwa upande wangu najua nyie mnachukiwa kwa sababu ya dharau zenu za kuona wale ambao si watutsi basi hawana thamani ya kuitwa binadamu. Ndio maana mmekua mkiwaua wahutu na kuwafanya kama raia wa daraja la pili huko rwanda. Huko kongo wanawachukia kwa sababu mmevamia mashariki ya kongo na mnawabaka wanawake na kuua raia wa kongo kwa kisingizio cha kuwasaka interahamwe na wakati lengo lenu ni kuunganisha kivu na rwanda ili ndoto zenu za kuunda bahima empire zitimie! Hicho pia ndio kinawafanya mng'ang'anie TZ! MRUDI KWENU....SIO TABIA NZURI KUNG'ANG'ANIA KWA WATU TENA AMBAPO HAMTAKIWI!
 
si ndiyo hawa hawa wanaotuita eti sisi ni mzuzu, hivi inaingia akilini mjanja kukaa na zuzu! kuna kubwa lililojificha ndani ya pazia, uamuzi wa mkuu wa kaya naona umechelewa sana. Watusi wameenea maeneo mbali mbali wakifanya kazi za wazawa agizo la raisi lizunguke mitaa yote nchini.
 
Back
Top Bottom