Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 45,757
- 246,786
.........Mtikila yu sahihi kabisa alichokisema ndicho kilichopo, hiki chama hakijakaa kitaifa hata kidogo kimekaa kikabila zaidi. Hii ni CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO ambayo ndiyo inaongozwa na Mtei na wazee wengine wa kichagga. Hapa Mtei hutoa maagizo ya CHADEMA chumbani ambayo hufanyiwa kazi na akina Mbowe. Mnamuona Mtikila amevulugwa lakini alichokinena ni ukweli mtupu.