Mtikila: Kuna CHADEMA MBILI - 'CHADEMA Chumbani' na 'CHADEMA Sebuleni'

Mtikila: Kuna CHADEMA MBILI - 'CHADEMA Chumbani' na 'CHADEMA Sebuleni'

Chama chake cha DP ni kama upatu wa yeye na mkewe,

Tangu wasajiliwe hawajawahi kufanya uchaguzi, mtikila ni mwenyekiti wa maisha wa DP,

Mtikila nihuni na ni tapeli wa kimataifa aliyejificha kwenye mgongo wa siasa nchini,
Vipi maoni yako ya sasa kuhusu DP kutofanya uchaguzi kipindi kile?

Je, una maoni mapya?
 
Chama chake cha DP ni kama upatu wa yeye na mkewe,

Tangu wasajiliwe hawajawahi kufanya uchaguzi, mtikila ni mwenyekiti wa maisha wa DP,

Mtikila nihuni na ni tapeli wa kimataifa aliyejificha kwenye mgongo wa siasa nchini,
Yericko Nyerere njoo usome comment yako hii kuhusu chama cha DP. Halafu ulinganishe na unachokitetea hivi Sasa.
 
Na Mbowe ni Mwenyekiti wa maisha wa Chadema
Watoto wa 2000 poleni, hizi thread mnazutumwa kuzipakia upya humu kweli basi hamumjui marehemu Mtikila vizuri. Muulizeni Mzee Giafar Beda wa Badr East Africa kwamba marehemu Mtikila alikuwa anaenda kufanya nn kwenye ofisi yake pale alhamza na Kwa alikuwa akiwaita magabacholi kipindi kile
 
Mpumbavu wewe mimi nina uwezo wa kuwa baba yako kabisa pumbavu kabisa
 
Ili kuondoa dhana hii ambayo imetawala kwa vichwa vya watz wengi kuwa CDM ni chama cha ukabila, wazo langu naomba MBOWE & SLAA wawapishe watu wengine au mmojawapo aachie ngazi na huyo atae shika nafac ya aliyejiengua km SLAA au MBOWE asiwe MCHANGA, kidogo watz wanaweza kuwaelewa nini mnafanya
 
Chadema ni saccos ya wachaga,mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ni edwin mte,makamu mwenyekiti ni mzee ndesambulo,katibu mkuu ni freeman mbowe,mweka hazina lilian mbowe mtei,wajumbe,ni lucy owenya,grace kihwelu,dr.slaa ni quas partiner tu,hao mbulula wengine,ni wadandia meli tu.
Wakati ni ukuta...
 
Mtikila: Kuna CHADEMA MBILI - 'CHADEMA Chumbani' na 'CHADEMA Sebuleni' Ameeeeeeeeeeeeeeen!praise the Lord haleluyah!! Baba mchungaji!!!!!! Baelezee hao mpaka wajitambue kuwa wapo ku 'sebure' na wenye chama wametulia chumbani!!
🐒🐒🐒
 
Chadema ya sebuleni na chadema ya chumbani kwa sasa vinara wake ni mbowe wa chumbani na lissu wa sebuleni. Mchuano ni mkali, anatakiwa lissu ili aondoe dhana hiyo kwamba chadema ina ukabila na ukanda. Mbowe apumzishwe uenyekiti ili chama kiwe na sura ya kitaifa zaidi
 
Back
Top Bottom