Mtikila: Kuna CHADEMA MBILI - 'CHADEMA Chumbani' na 'CHADEMA Sebuleni'

.........
 
Nje ya mada,,,nisadie jambo moja iv pale alhamza kulikua nn au ilikua nn,,,maana kipind nakua nilikua nasikia ilo jina na kupita pale,,Leo nimesoma hii comment nimekumbuka,,mm nimekulia buguruni kwa mnyamani ila miaka ya 2003 kuja juu nilikua sina ufaham na ilo jina
 
Huyu mzee ni kati ya wale wazee wachumia tumbo, kila kukicha na mafaili yake mahakamani, hadi wale makarani wa mahakamani wameshakachoka haka ka dingi. kesi haziishagi miaka nenda rudi.
Aisee, hii ndio shukran wanayolipwa waliojitolea kupambania haki za kikatiba za watanzania, dharau na kejeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…