Mtikila: Kuna CHADEMA MBILI - 'CHADEMA Chumbani' na 'CHADEMA Sebuleni'

Hivi zile kesi za huyu mchungaji zilishaishaga? 1
Hivi na kule mjengoni kuna mbunge yeyote anayewakilisha hiki chama cha huyu Mchungaji? 2
 
Chama chake cha DP ni kama upatu wa yeye na mkewe,

Tangu wasajiliwe hawajawahi kufanya uchaguzi, mtikila ni mwenyekiti wa maisha wa DP,

Mtikila nihuni na ni tapeli wa kimataifa aliyejificha kwenye mgongo wa siasa nchini,
huyu mzee ana Tuhuma nyingi sana za rushwa, kuna ile hela alimzika Rostam; kazee ni kamafia kinoma, Usiombe ukaingia anga za kenyewe umekwisha!!
 
Toka lini mmachame akajar maslai ya watu wengine mi nadhan kuna kila sabab ya kuunda kundi la waasi yAan rebels ambao hawatakuwa wanafungamana na chama chochote ila maslai ya wananchi nilianza kupata matumain na chadema ila mchungaj kanifungua macho...

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
huyu mchungaji anatafuta njia ya kwenda mahakamani, anasiku nyingi ameenda mahakamani!
 
huyu jamaa baada ya kula hela ya Rostam..kaingiwa pepo km wachungaji wanaotembea na kondoo wao.Shetani hupata uhalali ktk roho na mwili wao. Nadhani hata waswidish waliokuwa wakimpa misaada ,watakuwa wameshamchoka sasa..aiface CCM mwenyewe.Mwenyewe ni Mkabila mkuu na mdini mkuua.
 
Watanzania kila siku tunalalamika ni kwa nini nchi yetu ina raslimali zote za kuifanya iende mbele lakini imebakia kuwa masikini na hata maendeleo kidogo tunayoshuhudia ni usimamizi wa moja kwa moja wa wafadhili!!!
Unajua ni kwa nini!??: ...haya haya mambo ya kipindi fulani cha historia kuamua kuangalia balancing ya makabila, dini, ukanda na hata tulipoamua kuliharibu Bunge letu tukufu na slogans za jinsia. Mbona uulizi ni madaktari bingwa wangapi wanatokea ukanda gani au dini gani ili kuleta 'sura ya kitaifa'!
Haya mambo tunaweza kuyazingatia lakini cha msingi ni performance kwanza mengine baadae. Mbona hujamuuliza rais ametumia vigezo gani kumteua Mkurugenzi wa TANESCO au napo kashauriwa na Mbowe!?

 
Unahangaika kumjibu mtu aliekuja na stori kutoka kwenye gazeti la kufungia vitumbua? Kwani mchaga sio mtu? Jana tu rafikiangu kafunga ndoa na bint mrembo wa kichaga nailehali yeye nimsukuma alizaliwaga shanga mwalugesha

chonde chonde hata hadhi ya kufungia vitumbua hayana kabisa.
kitumbua uhai wa mwanadamu kaka. ufungie hizo sumu?!!! hujipendi kaka?!!

labda sana sana kwa wale wenzangu na mimi choo- maji mgogoro huko pengine labda ndiko yanakofaaa zaidi.
 
Hivi kuna vyombo vya habari ambavyo bado vina muhoji na kuchukua habari za Mtikila na Kuziandika Magazetini? duh hii Nchi Bwana...Hivi wame muuliza kama zile hela alizokopa kwa Manji alisha zirudisha!

alirudisha kipindi kile kile cha lile sakata..akasema hataki pesa za kafara..ha ha alikopa Mil.10 sio? nakumbuka aliziombea mbele ya wanahabari..
 
acha majungu wewe. Kaoneshe demokrasia yako kwenye poll hapo juu ili kumpa nguvu huyo msaliti.
Kura ziko wazi sahihi, kosa au huna uhakika. Mengine majungu tu...

du huyu mzee yupo? Njaa kweli mbaya na siasa zake za kipuuzi,vp lile deni la rostam alimaliza kulipa;huyu jamaa namfananisha na dinosouria yale mamijusi makubwa yaliyotoweka miaka mingi katika gharika kuu,huwa anaropoka sana mbona yeye na mkewe ndio dp haukuna wanachama wala wafuasi shame on you,kama huna cha kusema bora uende ukanunue kesi yoyote mahakamani upate kazi
 
Mtikila bwana kama anasema kweli vile !!!!!:frusty: na ndio wanaokiua chama na kinaelekea kupasuka mapande mawili
 
Chama chake cha DP ni kama upatu wa yeye na mkewe,

Tangu wasajiliwe hawajawahi kufanya uchaguzi, mtikila ni mwenyekiti wa maisha wa DP,

Mtikila nihuni na ni tapeli wa kimataifa aliyejificha kwenye mgongo wa siasa nchini,


Na aliyeleta uzi huu naye ni mhuni na ni tapeli
 

Huyu Mzee tangu apigwe jiwe kichwani kuna tatizo.

Huyu ni mbaguzi,ni tribalist mbaya katika historia ya siasa zetu

Ni jambo la ajabu kwa ma-tribalists na Ma-racists kama hawa kupewa platform ya kisiasa na airtime kwenye media
 
Chama chake cha DP ni kama upatu wa yeye na mkewe,

Tangu wasajiliwe hawajawahi kufanya uchaguzi, mtikila ni mwenyekiti wa maisha wa DP,

Mtikila nihuni na ni tapeli wa kimataifa aliyejificha kwenye mgongo wa siasa nchini,

Mwambie arudishe ela ya Rostam Aziz aliyochukua maana hata receipt tuliziona!!..
 
Hivi haka kazee kalirudisha hela za Rostam?? maana kalijifanya kuchonga zilipoanikwa vocha za
kuvuta hela kwa Rostam kakaufyata kimyaaaaa.Any way hakuna tofauti kati ya Mtikila na ZZK wote
wachumia tumbo tu'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…