Mtikila: Kuna CHADEMA MBILI - 'CHADEMA Chumbani' na 'CHADEMA Sebuleni'

Mtikila: Kuna CHADEMA MBILI - 'CHADEMA Chumbani' na 'CHADEMA Sebuleni'

Wachaga Wachaga wachaga!! mtakoma nao.
Labda kama mlikuwa hamjui neno MAENDELEO ndo limewavuta wengi wao.
Ukitaka kuendelea muige mchaga.
Ukienda Popote TZ ukamkosa huyo jamaa Jua hakuna maisha.
Wafuateni tuu,hata kama wako chadema.
Kidogo Wanyakyusa na Wasukuma wame anza Kuwa fuata zeni tuta sikia cdm ni chama cha makabila matatu Mara manne mwisho yote.
 
Sasa huyu baba mchungaji naye si imeandikwa ya Kaisari aachiwe mwenyewe bwana Kaisari!?

BTW yeye na DP yake binafsi sijawahi kusikia mwenyekiti wa chama nje ya jina la Mtikila miaka nenda rudi.
Mkuu, hivi una habari kuwa na katibu mkuu wa DP ni mke wake?
 
Bahati nzuri au mbaya ameongea ameongea Kristofa Mtikila, nani anayemheshimu ulimwengu huu? Yeye anacho chama cha kifamilia anakiongoza yeye na pia anayo dini ya kifamilia. Amezoeleka kwa watu kuwa ni mtu wa hivyo!
 
Huyu mzee ni chizi kabisa, yeye hapo alipo ana kashfa ya kufanya mapenzi na mke wake ktk ofisi za DP na hata mtikila mwenyewe ni dikteta alafu mke wake huyo ndiye katibu wa DP.. Huo ni ufuksa wa hali ya juu kufanya mapenzi ktk ofis za chama.

Shame on him.
 
Mchungaji Christopher MTIKILA azidi kupiga msumali wa MOTO katika JENEZA la Chadema mashumbulizi yake yamuelekea Edwin MTEI

"Amemtuhumu mmoja wa wanzilishi na m/kiti wa kwanza wa chadema Edwin MTEI, akidai kuwa ni muasisi wa dhana ya UKABILA na UKANDA katika chama hicho huku m/kiti wa sasa Freeman MBOWE na Katibu wake SLAA wakidaiwa kuboresha mfumo huo KISASA zaidi kwa kuweka NAKSH NAKSH"

Hata kinacho wafukuza Zitto na wenzake ktk Chadema ni matokeo ya kuota mizizi kwa mfumo wa UKABILA na UKANDA ambao hauruhusu mwanachama yoyote kuhoji mapato na matumizi ndai ya chama"

WATANZANIA waelewe Chadema si chama cha siasa na VIONGOZI wake si wanasiasa wa kweli, kwani hawana MAONO wala MALENGO ya kuwakomboa watanzania

KWA UJUMLA NI GENGE LA WALAJI TU!!!

Ndani ya chadema kuna kundi linaitwa "BIG EIGHT " ambalo linaudwa na wazee wa KICHAGA na kiongozi wao mkuu ni Edwin MTEI akisaidiwa na akina Mariale na Ndessamburo,

Hawa ndio wenye chadema yao ambapo moja ya MAJUKUMU yao ni kulinda maslahi ya kichaga ndani ya chama,Kuna Chadema mbili kuna chadema ya CHUMBANI na Chadema ya SEBULENI"

Source gazeti la Umma Tanzania 4/12/201

MY TAKE:
Je hawa wahafidhina na wandemokrasia wapo ipi? au mtikila kasahahu kuwa kuna uwezekano ikawepo nyingine ya JIKONI na UWANI.
 
Mtikila hana uchungaji wowote zaidi ya NJA tu. Achana na siasa kakusanye sadaka za ambao hawajakushtukia mzee.

Chadema ni tumaini la watanzania.
 
Mchungaji Christopher MTIKILA azidi kupiga msumali wa MOTO katika JENEZA la Chadema mashumbulizi yake yamuelekea Edwin MTEI

"Amemtuhumu mmoja wa wanzilishi na m/kiti wa kwanza wa chadema Edwin MTEI, akidai kuwa ni muasisi wa dhana ya UKABILA na UKANDA katika chama hicho huku m/kiti wa sasa Freeman MBOWE na Katibu wake SLAA wakidaiwa kuboresha mfumo huo KISASA zaidi kwa kuweka NAKSH NAKSH"

Hata kinacho wafukuza Zitto na wenzake ktk Chadema ni matokeo ya kuota mizizi kwa mfumo wa UKABILA na UKANDA ambao hauruhusu mwanachama yoyote kuhoji mapato na matumizi ndai ya chama"

WATANZANIA waelewe Chadema si chama cha siasa na VIONGOZI wake si wanasiasa wa kweli, kwani hawana MAONO wala MALENGO ya kuwakomboa watanzania

KWA UJUMLA NI GENGE LA WALAJI TU!!!

Ndani ya chadema kuna kundi linaitwa "BIG EIGHT " ambalo linaudwa na wazee wa KICHAGA na kiongozi wao mkuu ni Edwin MTEI akisaidiwa na akina Mariale na Ndessamburo,

Hawa ndio wenye chadema yao ambapo moja ya MAJUKUMU yao ni kulinda maslahi ya kichaga ndani ya chama,Kuna Chadema mbili kuna chadema ya CHUMBANI na Chadema ya SEBULENI"

Source gazeti la Umma Tanzania 4/12/2013

Kamwambie Mtikila kuwa siasa hazijengi kwa unafiki pia aache kugeuza ofisi za chama kuwa guest house kama alivyofanya yeye na mke wake.
 
Vibaraka wa RosT Army, anadhan akipayuka watu wazima watuona wa maana.

Tangu RosT-Army atoe Evidence ya Check ya 3m aliyompa kumziba mdomo naye nilimuona Feki tu, mganga njaa sawa sawa na dogo
 
Huyu alipgwa jiwe kule Tarime unakumbuka ? Alikuwa anawaidia CCM hatakaa akasema lolote na hata wewe una akili kama yake au unabisha ?

Nadhani unaikumbuka na hii...
Mazishi ya Mh. Chacha Wangwe, aliyekuwa Mbunge wa Tarime
aliyefariki dunia kwa ajali ya gari majuzi huko Dodoma,
yameshindwa kufanyika leo kijijini kwake Kamokorere baada ya
kufumuka kwa vurugu kubwa ambapo wabunge na viongozi wa
serikali na vyama vya siasa walohudhurian ilibidi watoke bomba
kusalimisha maisha yao.
Vurugu hiyo ilianza dakika chache baada ya kuwasili kilioni hapo
kwa Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Mh. Freeman Mbowe,
katika kijiji cha Kemokorere kiasi cha kilomita 20 hivi toka mjini
Tarime.
issamichuzi.blogspot.com/2008/07/mazishi-ya-wangwe-yaahirishwa-kwa.html?m=1
 
Unamacho lkn huoni, kwanini iwe CDM

Watanzania kila siku tunalalamika ni kwa nini nchi yetu ina raslimali zote za kuifanya iende mbele lakini imebakia kuwa masikini na hata maendeleo kidogo tunayoshuhudia ni usimamizi wa moja kwa moja wa wafadhili!!!
Unajua ni kwa nini!??: ...haya haya mambo ya kipindi fulani cha historia kuamua kuangalia balancing ya makabila, dini, ukanda na hata tulipoamua kuliharibu Bunge letu tukufu na slogans za jinsia. Mbona uulizi ni madaktari bingwa wangapi wanatokea ukanda gani au dini gani ili kuleta 'sura ya kitaifa'!
Haya mambo tunaweza kuyazingatia lakini cha msingi ni performance kwanza mengine baadae. Mbona hujamuuliza rais ametumia vigezo gani kumteua Mkurugenzi wa TANESCO au napo kashauriwa na Mbowe!?

1452339_558673044208406_2063836110_n.jpg
 
Kwani Mtikila yupi? Au ni yule aliyepigwa mawe Tarime wakati akiifanyia kampeni ccm kwa tiketi ya Dp? Kama ni huyu huyu,hapaswi kusikilizwa.Ni msaliti wa demokrasia.Alipewa hela na ccm ili asiiseme ccm bali apambane na upinzani kwa faida ya ccm pale inapobidi.
Huyu si ndiye aliyepewa hongo ya milion tatu na Rostam Aziz? Shame on him!
 
Mchungaji Christopher MTIKILA azidi kupiga msumali wa MOTO katika JENEZA la Chadema mashumbulizi yake yamuelekea Edwin MTEI

"Amemtuhumu mmoja wa wanzilishi na m/kiti wa kwanza wa chadema Edwin MTEI, akidai kuwa ni muasisi wa dhana ya UKABILA na UKANDA katika chama hicho huku m/kiti wa sasa Freeman MBOWE na Katibu wake SLAA wakidaiwa kuboresha mfumo huo KISASA zaidi kwa kuweka NAKSH NAKSH"

Hata kinacho wafukuza Zitto na wenzake ktk Chadema ni matokeo ya kuota mizizi kwa mfumo wa UKABILA na UKANDA ambao hauruhusu mwanachama yoyote kuhoji mapato na matumizi ndai ya chama"

WATANZANIA waelewe Chadema si chama cha siasa na VIONGOZI wake si wanasiasa wa kweli, kwani hawana MAONO wala MALENGO ya kuwakomboa watanzania

KWA UJUMLA NI GENGE LA WALAJI TU!!!

Ndani ya chadema kuna kundi linaitwa "BIG EIGHT " ambalo linaudwa na wazee wa KICHAGA na kiongozi wao mkuu ni Edwin MTEI akisaidiwa na akina Mariale na Ndessamburo,

Hawa ndio wenye chadema yao ambapo moja ya MAJUKUMU yao ni kulinda maslahi ya kichaga ndani ya chama,Kuna Chadema mbili kuna chadema ya CHUMBANI na Chadema ya SEBULENI"

Source gazeti la Umma Tanzania 4/12/2013

Yeye mbona ni mchungaji msanii, tena anakula sadaka za waumini maskini, huku yeye akikaa kwenye gorofa na usafiri wa uhakika. Huyu mzee ni mnafki sana, siasa na dini wapi na wapi... Aache upuuzi wake.
 
hivi hizi ngonjera zenu haziwachoshi? kila siku uchaga, ukanda! kwa hiyo mnatakaje?

Chadema kingekuwa chama cha kikabila au kikanda kama kingeishia maeneo hayo mnayoyataja, ie, kilimanjaro, Tanga, Arusha nk.

pili, hata sheria yenyewe ya vyama vya siasa inakataza uanzishwaji wa chama kwa misingi hiyo.

Tatu, Kwa hiyo mnataka wahalifu wasichukuliwe hatua eti kisa wanaeneza uongo wao kuwa eti kwa kuwa wao sio wachaga au kanda ile?

Nne, Kama zito na kitila wanajua kuwa chadema ni chama cha kikabila na kikanda kwa nini hawakutoka mapema, au kwa nini bado wamo na wanang'ang'ania kubaki?

Tano, Mbona Mnyika, Vicent Nyerere, Opurukwa nk. wao hawajafukuzwa?

Sita: Kwani Mbowe katangaza kuwa atagombea tena uenyekiti? au Uchaguzi umishatangazwa? mbona mna wasi wasi?

Saba: je, assume kuwa zitto anaendelea kuwa mwanachama, alafu mwakani wakati wa uchaguzi Lisu agombee na Zitto Huo Uenyekiti, Zitto wenu ashindwe, sasa mtasemaje tena?

Nane: Hao wanaohama Chadema acha wahame, kwanza inaonekana hawajui SIASA ZA VYAMA NA UANACHAMA, ukiamua kuwa mwanachama wa chama cha siasa ile ni "imani" kwa hiyo kule humfuati mtu hapana unaenda kwa sababu "imani" yako inakuelekeza kwenda kule kwa moyo mmoja.

CHADEMA IPO IMARA NA ZITO NA KITILA WATAFUKUZWA, tunajua kuwa kuna fukuto kubwa kutoka CCM na baadhi ya watu wanao-pressurise chadema wasiwafukuze uanachama.
 
Back
Top Bottom