KING COBRA
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 2,782
- 875
Hivia Karibuni upotevu mkubwa wa fedha Efatha Benk ambapo bado chanzo hakijajulikana na wakaguzi wa ndani wanaendelea na uchunguzi.
Wakati hayo yakijili yafuatayo yamebainika:
1.Mary Msimbila mkazi wa Zinza ametimka .Huyu anatajwa kuwa mtu wa Karibu na Mwingira kiasi cha kuhusika katika transaction zote nyeti zikiwemo zile za ununuzi wa Shamba kule Rukwa. Mwanamke huyo alikuwa anafanya kazi Azania Benk lakini Mwingira alimuachisha kazi na kujiunga na Efatha Benk. Mke wa Mwingira aliwahi kumulalamikia mama huyu kuwa anaingilia ndoa yake
2.Mkurungenzi wa Benk Efatha ndg Mbele (Mngoni) naye ametimuka.
3.Bi Mary Siwale mtu wa Karibu na Mwingira naye ametimka. Mwingira alikuwa anatumia gari la mama huyu kwenda Rukwa.
4.Bi Elia kunda Mwingira yupo China kwa zaidi ya mwezi sasa.
5.Mwingira ametoa amri kuwa watu wote waliokopa waongezewe riba ili kufidia upotevu wa fedha
6.Mwingira ameacha maagizo kuwa watu wote waliondoka wabambikiziwe upotevu huo wa fedha!!!