Mtikisiko wa Fedha Benk ya Mwingira wa fukuzisha kazi Vigogo!!!!

Mtikisiko wa Fedha Benk ya Mwingira wa fukuzisha kazi Vigogo!!!!

KING COBRA

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
2,782
Reaction score
875
Hivia Karibuni upotevu mkubwa wa fedha Efatha Benk ambapo bado chanzo hakijajulikana na wakaguzi wa ndani wanaendelea na uchunguzi.

Wakati hayo yakijili yafuatayo yamebainika:

1.Mary Msimbila mkazi wa Zinza ametimka .Huyu anatajwa kuwa mtu wa Karibu na Mwingira kiasi cha kuhusika katika transaction zote nyeti zikiwemo zile za ununuzi wa Shamba kule Rukwa. Mwanamke huyo alikuwa anafanya kazi Azania Benk lakini Mwingira alimuachisha kazi na kujiunga na Efatha Benk. Mke wa Mwingira aliwahi kumulalamikia mama huyu kuwa anaingilia ndoa yake

2.Mkurungenzi wa Benk Efatha ndg Mbele (Mngoni) naye ametimuka.

3.Bi Mary Siwale mtu wa Karibu na Mwingira naye ametimka. Mwingira alikuwa anatumia gari la mama huyu kwenda Rukwa.

4.Bi Elia kunda Mwingira yupo China kwa zaidi ya mwezi sasa.

5.Mwingira ametoa amri kuwa watu wote waliokopa waongezewe riba ili kufidia upotevu wa fedha
6.Mwingira ameacha maagizo kuwa watu wote waliondoka wabambikiziwe upotevu huo wa fedha!!!
 
Sasa hapo wakija kuletwa wakenya kuendeleza bank watanzania mtalalamika?bila shaka hao wanahusika waliokimbia.kuweni wazalendo including na mleta mada maana umeandika kwa kuwa against na mtu mmoja.
 
Nakumbuka alivyowaagiza wote waweke hela ktk benki yao. Amefanikiwa mzee wa kunyumba. Endelea kuwakamua mpaka tone la mwisho, maana wamezidi uoga hawataki hata umseme kiongozi wao hata kwa jambo alilofanya kweli eti utakufa.
 
eti utakufa....nimeipenda hii!!!
 
Nakumbuka alivyowaagiza wote waweke hela ktk benki yao. Amefanikiwa mzee wa kunyumba. Endelea kuwakamua mpaka tone la mwisho, maana wamezidi uoga hawataki hata umseme kiongozi wao hata kwa jambo alilofanya kweli eti utakufa.

eti utakufa ...hii nimeipenda

Sasa hapo wakija kuletwa wakenya kuendeleza bank watanzania mtalalamika?bila shaka hao wanahusika waliokimbia.kuweni wazalendo including na mleta mada maana umeandika kwa kuwa against na mtu mmoja.

.....njooni wakenya kwa wingi tunawahitaji sana tena haraka, angalau mtuamshe uzingizini sie watz bado tumesleep, karibu sana!!!!
 
Mwingira amepata wapi fedha ya kufungua benki?wajinga ndio waliwao.TAFAKARI.
 
Hivia Karibuni upotevu mkubwa wa fedha Efatha Benk ambapo bado chanzo hakijajulikana na wakaguzi wa ndani wanaendelea na uchunguzi.
Wakati hayo yakijili yafuatayo yamebainika:
1.Mary Msimbila mkazi wa Zinza ametimka .Huyu anatajwa kuwa mtu wa Karibu na Mwingira kiasi cha kuhusika katika transaction zote nyeti zikiwemo zile za ununuzi wa Shamba kule Rukwa.
Mwanamke huyo alikuwa anafanya kazi Azania Benk lakini Mwingira alimuachisha kazi na kujiunga na Efatha Benk.
Mke wa Mwingira aliwahi kumulalamikia mama huyu kuwa anaingilia ndoa yake

2.Mkurungenzi wa Benk Efatha ndg Mbele (Mngoni) naye ametimuka.

3.Bi Mary Siwale mtu wa Karibu na Mwingira naye ametimka. Mwingira alikuwa anatumia gari la mama huyu kwenda Rukwa.

4.Bi Elia kunda Mwingira yupo China kwa zaidi ya mwezi sasa.

5.Mwingira ametoa amri kuwa watu wote waliokopa waongezewe riba ili kufidia upotevu wa fedha
6.Mwingira ameacha maagizo kuwa watu wote waliondoka wabambikiziwe upotevu huo wa fedha!!!

je bot wanataarifa juu ya mtikisiko huo au ndio ishu za ndani unazileta jamvini..
 
Mwingira amepata wapi fedha ya kufungua benki?wajinga ndio waliwao.TAFAKARI.

ishu ni capital tu mkuu usiogope sana sadaka ngapi anakusanya na wadau wangapi wenye mahela anawajua..
 
nakumbuka alivyowaagiza wote waweke hela ktk benki yao. Amefanikiwa mzee wa kunyumba. Endelea kuwakamua mpaka tone la mwisho, maana wamezidi uoga hawataki hata umseme kiongozi wao hata kwa jambo alilofanya kweli eti utakufa.
wanasema usimsema baba mtakatifu aliyewaloga waumini wa mwingira keshakufa walahi yaani wale watu hovyo kabisa ,jamaa ni mzizi na anakula wake zao usimseme baba hahahaha
 
ndio tatizo la watanzania benki mnataka ifunguliwe na watu weupe tu akifungua mtanzania mwenzio
hastahili'
ana biashara gani kama sio sadaka za hao w4jing4 wake hapo sema ana biashara /kazi gani /ana investiment gani kubwa sana iliyomuingizia hizo mihela ,sadaka za w4jlng4 wake
 
wanasema usimsema baba mtakatifu aliyewaloga waumini wa mwingira keshakufa walahi yaani wale watu hovyo kabisa ,jamaa ni mzizi na anakula wake zao usimseme baba hahahaha
Kama ulikuwepo kuna siku nilikuwa namuuliza muumini mmoja kuhusu suala la kesi ya Mwingira la kuhusu mke wa Mbuya limefikia wapi. Alinishangaza kusema hata yeye hajalisikia na halujui, hata nilipojaribu kumuelewesha alinikata kaulikwa kusema "usimseme baba vibaya wenzio walishakufa".

Ama kweli another Kibwetere in action, tutaona mwisho wake.
 
Ndio tatizo la watanzania benki mnataka ifunguliwe na watu weupe tu akifungua mtanzania mwenzio
hastahili'
Hakuna mtu anayepinga hilo, tatizo ni kuona watanzania wenzetu wanapelekeshwa kama kondoo kuelekea machinjioni maskini huku wenyewe wakiwa hoi.
 
kwel kabisa wabongo hawatak mwenzao afankiwe,akifany mzungu wanaona sawa.
 
kama ulikuwepo kuna siku nilikuwa namuuliza muumini mmoja kuhusu suala la kesi ya mwingira la kuhusu mke wa mbuya limefikia wapi. Alinishangaza kusema hata yeye hajalisikia na halujui, hata nilipojaribu kumuelewesha alinikata kaulikwa kusema "usimseme baba vibaya wenzio walishakufa".

Ama kweli another kibwetere in action, tutaona mwisho wake.
na acha nife ila mwingira sio mtumishi wa mungu nitakuwa wa mwisho kuja amini watumishi wa mungu wako vile na watu kama mwingira ndio wanamwaibisha mungu na yesu kristo ,anaiba sadaka live kufanya biashara zake,anakula wake za watu na kesi zipo mahakamani akiona eneo l muumini ni potentiol anamwambia amkati e yani kind of dhulmati ,kama yule ndio kiongozi wa hao watu wote naamini kuwa kuzimu itjaa sana kuliko mbinguni.na waumini wake ni waoga kweli kweli nidhamu ya uoga anasema matusi wanapiga makofi,kila anachosema hata kama kweli kinahitaji challenge hakuna anayesema ,yaani mchungaji ambaye hana elimu ya darasani kichwani hata kidogo kuanzia degree/masters sina muda wakumsikiliza failure anayefanya biashara kupirtia mwamvuli wa dini.wacha nife
MWINGIRA =KIBWETERE FULL STOP
 
Kama ulikuwepo kuna siku nilikuwa namuuliza muumini mmoja kuhusu suala la kesi ya Mwingira la kuhusu mke wa Mbuya limefikia wapi. Alinishangaza kusema hata yeye hajalisikia na halujui, hata nilipojaribu kumuelewesha alinikata kaulikwa kusema "usimseme baba vibaya wenzio walishakufa".

Ama kweli another Kibwetere in action, tutaona mwisho wake.
Nani kamupa Mwingira nabii ???? Amepata unabii akiwa amepakatwa na kahaba !!! Angalia maneno ya Mwingira hapa
'Nakumbuka siku moja nikiwa Mirerani ,huko Arusha, BWANA YESU alinitokea chumbani. Kwa kuwa nilikuwa mzinzi na mlevi niliyebobea, ndiyo kwanza nilikuwa nimetokea kwenye starehe zangu, tayari nikiwa na dada mmoja Kahaba. YEYE Kama nilivyoeleza hapo juu, mimi nilikuwa katika mazingira ambayo hayakuwa mazuri sana kwa sababu nilikuwa katika hali ya ulevi namshiriki wa mambo mengi ya dunia.
Yule dada(kahaba) alipona hali hiyo akakimbia ,nikabaki(Josephati) peke yangu.BWANA YESU akasema, "Mimi ninakutaka wewe uache maovu yote na unitumikie" Baadaye wakati alipotaka kuondoka ,ikanibidi nimshike miguu na kumg'ang'ania, nikamwambia, "usiniache!' Akashuka chini na kunishika bega la mkono wa kulia akasema,'Nitakuwa na wewe! Halafu akatoweka.

Baada ya hapo yakawa yananitokea maono Fulani Fulani ya kutumwa. Mara BWANA YESU alinituma nikawaombee watu Fulani Fulani waokoke au wapone kutokana na magonjwa yao wakati mimi nilikuwa bado sijui kuokoka kilikuwa kitu gain.
Lakini nikawa napata neema ya kwenda kuwaombea na wagonjwa wakawa wanapona.Wakati mwingine BWANA YESU akawa ananitokea katika ndoto au anatuma malaika ambao walikuwa wananielekeza watu wa kwenda kuwaombea uponyaji kutokana na mtatizo yao. Kufikia hapo nikawa hata nikienda kunywa pombe ,nilikuwa naitapika yote. Hama ya pombe ikaisha na nikaichukia moja kwa moja. Baada ya hapo nilikuwa sijui hata kufungua Bibili, ukiachilia mbali kwamba nilikuwa sina Bibilia….' Mwisho wa kunukuu.

Back
Top Bottom