Mtikisiko wa Fedha Benk ya Mwingira wa fukuzisha kazi Vigogo!!!!

Mtikisiko wa Fedha Benk ya Mwingira wa fukuzisha kazi Vigogo!!!!

Unawezaje kuthibitisha ukahaba wa Mwingira kama hujafanya nae ukahaba?!!!!!
Unataka ushahidi gani wakati hata mke wa Wakili Mbuya alikiri mbele ya Eliakunda (Mama Mwingira)na kutubu dhambi ya kula tunda la Mtume.

Kama hamjui kusoma hata picha hamuoni jamani? Pole....
 
Watu wengi huwa ni wepesi wa kuhukumu bila hata kuona.Katika maisha ni mara ngapi tumemkosea Mungu lakini ametusamehe.MUNGU NDIYE AUJUAYE UKWELI.Tusimhukumu.
 
waumini.jpg
 
Kuna jambo moja ambalo watu hasa watumishi hawajui au wanashupaa shingo zao, shetani huwa anawanyanyua baadhi ya watumishi wa Mungu ambao ni dhaifu kiroho halafu baadaye huwaachia na kudondoka, nia yake ni kuiabisha kazi ya kristo hapa duniani... na dhambi ya uzinzi ndiyo rungu ambalo shetani analitumia kuwapiga watumishi wa Mungu wasio na msimamo au wadhaifu. sasa kama Madai dhidi ya Mwingira ni ya kweli basi ataendelea kuaibika sana hapa duniani mpaka akiri makosa yake yote hadharani kama anavyohubiri injili hadharani. Mimi binafsi nilikuwa nashangaa kwanini mtu wa Mungu kama Mwingira apate misukosuko kiasi hicho wakati Mungu yupo? Kuhusu lile shamab la Rukwa kumeshatokea mauaji ya kutisha na mali kuharibiwa yakiwamo matrekta. Hapa kwenye kanisa lao walishavamiwa na maaskari na risasi za moto pamoja na za plastic zilirindima, hayo ni baadhi tu ya matukio.

Ukiwa Mkristo tafakari haya
 
Eee MUNGU wa IBRAHIM watu wako wanaangamia kwa kukosa maarifa(kama si kuzidiwa maarifa na mwingira)
 
Hivia Karibuni upotevu mkubwa wa fedha Efatha Benk ambapo bado chanzo hakijajulikana na wakaguzi wa ndani wanaendelea na uchunguzi.
Wakati hayo yakijili yafuatayo yamebainika:
1.Mary Msimbila mkazi wa Zinza ametimka .Huyu anatajwa kuwa mtu wa Karibu na Mwingira kiasi cha kuhusika katika transaction zote nyeti zikiwemo zile za ununuzi wa Shamba kule Rukwa.
Mwanamke huyo alikuwa anafanya kazi Azania Benk lakini Mwingira alimuachisha kazi na kujiunga na Efatha Benk.
Mke wa Mwingira aliwahi kumulalamikia mama huyu kuwa anaingilia ndoa yake

2.Mkurungenzi wa Benk Efatha ndg Mbele (Mngoni) naye ametimuka.

3.Bi Mary Siwale mtu wa Karibu na Mwingira naye ametimka. Mwingira alikuwa anatumia gari la mama huyu kwenda Rukwa.

4.Bi Elia kunda Mwingira yupo China kwa zaidi ya mwezi sasa.

5.Mwingira ametoa amri kuwa watu wote waliokopa waongezewe riba ili kufidia upotevu wa fedha
6.Mwingira ameacha maagizo kuwa watu wote waliondoka wabambikiziwe upotevu huo wa fedha!!!

Una uhakika na hii habari ulipost hapa mkuu?
Angalia usije ukahukumiwa kwa kuongea ambayo hayapo.
 
Hivia Karibuni upotevu mkubwa wa fedha Efatha Benk ambapo bado chanzo hakijajulikana na wakaguzi wa ndani wanaendelea na uchunguzi.
Wakati hayo yakijili yafuatayo yamebainika:
1.Mary Msimbila mkazi wa Zinza ametimka .Huyu anatajwa kuwa mtu wa Karibu na Mwingira kiasi cha kuhusika katika transaction zote nyeti zikiwemo zile za ununuzi wa Shamba kule Rukwa.
Mwanamke huyo alikuwa anafanya kazi Azania Benk lakini Mwingira alimuachisha kazi na kujiunga na Efatha Benk.
Mke wa Mwingira aliwahi kumulalamikia mama huyu kuwa anaingilia ndoa yake

2.Mkurungenzi wa Benk Efatha ndg Mbele (Mngoni) naye ametimuka.

3.Bi Mary Siwale mtu wa Karibu na Mwingira naye ametimka. Mwingira alikuwa anatumia gari la mama huyu kwenda Rukwa.

4.Bi Elia kunda Mwingira yupo China kwa zaidi ya mwezi sasa.

5.Mwingira ametoa amri kuwa watu wote waliokopa waongezewe riba ili kufidia upotevu wa fedha
6.Mwingira ameacha maagizo kuwa watu wote waliondoka wabambikiziwe upotevu huo wa fedha!!!

Mbona waliotimka wote ni wanawake tu? Kuna nini?

Jama huyu anakashfa ya kutembea na wake za watu. Napatwa na wasiwasi.
 
Back
Top Bottom