Mtikisiko wa Usajili: Yanga yasema Jiji kutikisika leo

Kipimo sahihi cha umri wa wachezaji kitaanza kuonekana sept 25,kikubwa cha kujivunia 98% ya kikosi cha Yanga cha msimu uliopita kipo vile vile,safari hii tunasajili kulipokua na mapungufu
 
Haya majamaa huwa ni mashenzi sana, mbwembwe nyingi lakini ushuzi mtupu,saa hizi yanasahili ovyo ovyo tu mwisho wa siku yanaleta akina Fiston,Ntibazonkiza,Sarpong,mtamusimamisha Mzee wenu wa tunguli Mpili,nyambafu nyie

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Khalid aucho ndie atatambulishwa leo kama sikosei,Yanga inasajili sehemu ambazo kulionekana kuna mapungufu msimu uliopita
 
Kipimo sahihi cha umri wa wachezaji kitaanza kuonekana sept 25,kikubwa cha kujivunia 98% ya kikosi cha Yanga cha msimu uliopita kipo vile vile,safari hii tunasajili kulipokua na mapungufu
Swahiba mbona mikia washaanza kutikisika kabla sa? 😅😅

Yaani hawajajua kitakachowatikisa lakini wao washaanza kutikisika. Lol
 
Swahiba mbona mikia washaanza kutikisika kabla sa? 😅😅

Yaani hawajajua kitakachowatikisa lakini wao washaanza kutikisika. Lol
Sindano inawaingia taratibu,wanajifanya wanatucheka sisi kusajili kama vile hakuna timu inayosajili vile,hawa uwa wanatuvizia tukimtaka mchezaji wao wanamuwahi,sasa hivi kila tunaemtaka ni wa kununua sio free agent,wameishiwa pumzi
 
Labda kusimama "dede!"
 
Inasemekana ni Khalid Aucho kuna upande umebomolewa sana![emoji3].
 
Swahiba mbona mikia washaanza kutikisika kabla sa? [emoji28][emoji28]

Yaani hawajajua kitakachowatikisa lakini wao washaanza kutikisika. Lol
Ha ha ha inabidi watulie tu wakitikisika sana mkia utakatwa! Ila Afisa habari wetu Bumbuli amefiwa na mama yake aisee!
 
Umepanick ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…