Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Kipimo sahihi cha umri wa wachezaji kitaanza kuonekana sept 25,kikubwa cha kujivunia 98% ya kikosi cha Yanga cha msimu uliopita kipo vile vile,safari hii tunasajili kulipokua na mapungufu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Banda la kuku?Piter banda ndani. mikia tulieni
Tutake radhi tasavali Mkuu.Yanga kwenye dirisha la usajili huwa wananenepa kabisa
Swahiba mbona mikia washaanza kutikisika kabla sa? 😅😅Kipimo sahihi cha umri wa wachezaji kitaanza kuonekana sept 25,kikubwa cha kujivunia 98% ya kikosi cha Yanga cha msimu uliopita kipo vile vile,safari hii tunasajili kulipokua na mapungufu
Ivuga Mimi au? 😉Aende airport?
Anatokea wapi huyu Swahiba?Khalid aucho ndie atatambulishwa leo kama sikosei,Yanga inasajili sehemu ambazo kulionekana kuna mapungufu msimu uliopita
Nyi tumewazoea, muda wenu wa kushangilia ndiyo huu, tangu wakati wa akina Yikpe, Sarpong , bado hamjajifunza.Msikalili kuwa kila siku ni jumapili ndo maandalizi ya kuwaachia man yo ya hivyo
Sindano inawaingia taratibu,wanajifanya wanatucheka sisi kusajili kama vile hakuna timu inayosajili vile,hawa uwa wanatuvizia tukimtaka mchezaji wao wanamuwahi,sasa hivi kila tunaemtaka ni wa kununua sio free agent,wameishiwa pumziSwahiba mbona mikia washaanza kutikisika kabla sa? 😅😅
Yaani hawajajua kitakachowatikisa lakini wao washaanza kutikisika. Lol
Labda kusimama "dede!"Klabu ya Yanga kwa kupitia mitandao yake ya kijamii imetangaza kuwa Leo Jiji na Nchi nzima itazizima kwa Usajili itakaoutangaza kesho
Wananchi wanasema wao Wana watu mpaka huko "Upande wa Pili", wamepindua meza kibabe
Tujumuike nami hapo Leo baadae tuone kishindo Cha Wananchi
View attachment 1877964
Anatokea wapi huyu Swahiba?
Kama walivyotangaziwa scania bus ikaja tataHao uto ndio muda wao huu wa kutamba kesho mnatangaziwa mashudu mengine
Mukoko anaondoka?Khalid Aucho anatokea El Makkasa ya Misri ni mtu kweli kweli ni kiungo mkabaji mzuri.
Mukoko anaondoka?
Kuna mwananchi kishakujibu swahiba 😀👊Anatokea wapi huyu Swahiba?
Ha ha ha inabidi watulie tu wakitikisika sana mkia utakatwa! Ila Afisa habari wetu Bumbuli amefiwa na mama yake aisee!Swahiba mbona mikia washaanza kutikisika kabla sa? [emoji28][emoji28]
Yaani hawajajua kitakachowatikisa lakini wao washaanza kutikisika. Lol
Umepanick ...Haya majamaa huwa ni mashenzi sana, mbwembwe nyingi lakini ushuzi mtupu,saa hizi yanasahili ovyo ovyo tu mwisho wa siku yanaleta akina Fiston,Ntibazonkiza,Sarpong,mtamusimamisha Mzee wenu wa tunguli Mpili,nyambafu nyie
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app