Lutandagula
JF-Expert Member
- Apr 8, 2018
- 1,762
- 2,154
Ndio wanakuja kutengeneza pacha kamili sasa. Yaani kiungo itakuwaje ni Mukoko, Aucho na Feisali, ni wazi hapa anafariki mtu![emoji3]Mukoko anaondoka?
KagereeeeeeUmepanick ...
Kigagu huyo wa kazi gani.Kagereeeeee
Ni noma mzeeKama walivyotangaziwa scania bus ikaja tata
Sindano inawaingia taratibu,wanajifanya wanatucheka sisi kusajili kama vile hakuna timu inayosajili vile,hawa uwa wanatuvizia tukimtaka mchezaji wao wanamuwahi,sasa hivi kila tunaemtaka ni wa kununua sio free agent,wameishiwa pumzi
Kwa kweli hivyo wajitulize tu.Ha ha ha inabidi watulie tu wakitikisika sana mkia utakatwa! Ila Afisa habari wetu Bumbuli amefiwa na mama yake aisee!
Shadeeya tuwe wavumilivu kidogo mpaka December ndio tutajua mbivu na mbichi.Tutake radhi tasavali Mkuu.
Hahahaaa. Lol.Hapana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 5imba Dah.
Ooh!! Japo niseme hizi kauli zenu ipo siku mtazikataa.Shadeeya tuwe wavumilivu kidogo mpaka December ndio tutajua mbivu na mbichi.
Mikia wanaifuatilia Yanga hatari,wote woga ule
Mtani Leo mnasimamisha jijiTutake radhi tasavali Mkuu.
Yap yap!! Tunatikisa mji Mtani.Mtani Leo mnasimamisha jiji