Mtindo gani wa Mashati ya Kitenge unabamba sasa hivi hapa Mjini?

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Wakuu nimenunua Kitenge kikali sana, na target yangu kubwa ni kushona shati ya Kitenge kali sana, Hivyo nipeni mwongozo na uzoefu ni mtindo gani wa Mashati ya Kitenge unabamba kwa sasa hapa Mjini..?
 
Duhhhh...
Ngoja waje mkuu, maana kuna nyuzi zingine hua sio lazima wengine tuchangie..😝
 
Wakuu nimenunua Kitenge kikali sana, na target yangu kubwa ni kushona shati ya Kitenge kali sana, Hivyo nipeni mwongozo na uzoefu ni mtindo gani wa Mashati ya Kitenge unabamba kwa sasa hapa Mjini..?
Kabla ya ushauri, hicho kitenge ulichonunua kina mabaka baka ya kenge?
 
Wakuu nimenunua Kitenge kikali sana, na target yangu kubwa ni kushona shati ya Kitenge kali sana, Hivyo nipeni mwongozo na uzoefu ni mtindo gani wa Mashati ya Kitenge unabamba kwa sasa hapa Mjini..?
Shona ile style ya shati kama la mwamposa ndio yenyewe.
images (5).jpeg
 
Back
Top Bottom