Mtindo gani wa Mashati ya Kitenge unabamba sasa hivi hapa Mjini?

Mtindo gani wa Mashati ya Kitenge unabamba sasa hivi hapa Mjini?

Jpili huwa nakaa mahali basi mtu na mke wanapita mke kavaa gauni kitenge mme shati kitenge, kilichobaki ndio kimemfungia mtoto mgongoni, mara wanapita na wengine dizaini hiyo.....kiukweli sijui hata huwa nacheka nini, ila huwa nacheka
 
Huwa naamini anayevaa kitenge anatawaliwa na mke wake kwa maana anamlazimisha nunua kitenge tushone sare🤣🤣🤣 natania tu bro.
Walokole ndio zao hizo. Kwanza anakulazimisha uokoke, halfu anakushonesha shati la kitenge sare na yeye tatu anahakikisha huna mawasiliano mazuri na ndugu zako nne anakontroo mshahara wako na password ya simu yako, kadi ya benki anazijua.
 
Jpili huwa nakaa mahali basi mtu na mke wanapita mke kavaa gauni kitenge mme shati kitenge, kilichobaki ndio kimemfungia mtoto mgongoni.....kiukweli sijui hata huwa nacheka nini, ila huwa nacheka
😂😂🤣😅Hapo na dhani huwa ni ujumbe unafikishwa kwa mtu kuwa bado wanapendana🤣🤣🤣🤣🤣
 
Walokole ndio zao hizo. Kwanza anakulazimisha uokoke, halfu anakushonesha shati la kitenge sare na yeye tatu anahakikisha huna mawasiliano mazuri na ndugu zako nne anakontroo mshahara wako na password ya simu yako, kadi ya benki anazijua.
Umemaliza kila kitu
 
Leteni basi sample hizo tuzione nami nidake nitayoipenda
 
Back
Top Bottom