Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Duhhhh...Wakuu nimenunua Kitenge kikali sana, na target yangu kubwa ni kushona shati ya Kitenge kali sana, Hivyo nipeni mwongozo na uzoefu ni mtindo gani wa Mashati ya Kitenge unabamba kwa sasa hapa Mjini..?
Utani wa ngumi huu...🤣😝Huwa naamini anayevaa kitenge anatawaliwa na mke wake kwa maana anamlazimisha nunua kitenge tushone sare🤣🤣🤣 natania tu bro.
Ha ha ha haaaaaaaaUtani wa ngumi huu...🤣😝
Ushachangia MzeeDuhhhh...
Ngoja waje mkuu, maana kuna nyuzi zingine hua sio lazima wengine tuchangie..😝
Kabla ya ushauri, hicho kitenge ulichonunua kina mabaka baka ya kenge?Wakuu nimenunua Kitenge kikali sana, na target yangu kubwa ni kushona shati ya Kitenge kali sana, Hivyo nipeni mwongozo na uzoefu ni mtindo gani wa Mashati ya Kitenge unabamba kwa sasa hapa Mjini..?
Naacha Mtani....Mtani acha uchokozi 😄😄😄😄
🤣🤣🤣🤣Kabla ya ushauri, hicho kitenge ulichonunua kina mabaka baka ya kenge?
Shona ile style ya shati kama la mwamposa ndio yenyewe.Wakuu nimenunua Kitenge kikali sana, na target yangu kubwa ni kushona shati ya Kitenge kali sana, Hivyo nipeni mwongozo na uzoefu ni mtindo gani wa Mashati ya Kitenge unabamba kwa sasa hapa Mjini..?
Weka picha nami nishone kwa mara ya kwanza
Kwenu ni Kyela?Wakuu nimenunua Kitenge kikali sana, na target yangu kubwa ni kushona shati ya Kitenge kali sana, Hivyo nipeni mwongozo na uzoefu ni mtindo gani wa Mashati ya Kitenge unabamba kwa sasa hapa Mjini..?
Itakuwa umefananisha na kule migombani mtani😄Naacha Mtani....
Ila kule Mlimani huwa naona ndiyo vazi lenu pendwa😅