spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Nikajua upo kariakoo miaka 10 unajenga ghorofa la 4 saivi kumbe upo zako tu unajua mipango sio mbaya lakini afisa mipangoHayo maghorofa yanayojengwa ni pesa zilizofunguka Toka serikali. Mfumo wa pesa umeshashafunguka tayari Kwa wajanja wa mjini kumbuka miaka Ile ya zamani watu walikuwa wananunua nyumba za kawaida wanavunja na wanajenga maghorofa lkn sikuhizi utakuta ghorofa 7 inavunjwa inajengwa upya kisiasa zaidi..
Nipo kariakoo zaidi ya miaka 10 najua mipango mingi watu wanafanya
Kabisa mkuu [emoji817]Na kwa huo mfumo wa maduka chini wazingatie viwango tu
Zama za vyuma kukaza zinakuja tuna wazoom tuu hapaKariakoo kwa sasa kila sehemu inajengwa, na hivyo ndo vizuri maana frame zinaongezeka.
Sio kwamba wewe ni mpumbavu mmja?Ukishaona hivi jua kabisa kuna wizi mkubwa sana kwa sasa kwa wafanya biashara. Enzi za jiwe watu walisimamisha ujenzi. Kuna jamaa yangu ni supplier tu wa mfukoni alijenga nyumba tu ya kawaida vyumba 3 sebule dining msingi tu 35mil una renta chini na juu, boma 24 mil tofari ratio 20 na mchanga standart ule wa laki trip. Magu alipoingia madarakani ujenzi ukassimama
Mwingine tena ana stationery tu akawa anajenga ghorofa hoteli jamà alivoingia madarakani ujenzi ukasimama naona saiz anamalizia
Watakwambia ni wizi lakini pia TRA wako friendly sio kutafutana umetoka wapi pesa mara wafunge acc na upuuzi kama huo.Hawatoi mfukoni kwao, ni mikopo ya benki mkuu, hata wewe ukijipanga vizuri tu unapewa mkopo ushushe kabati la maana tu..
Mbona hata NHC inavunja vigorofa vyao vya zamani Ili kujenga upya ku maximise space na value for money.Last time nilikuwa Arusha pale town karibu na stand nao wanafanya kitu kama hiko
Yaani wewe kila mtu anakwepa Kodi tu?acha fikra za kimaskini weweKama wanakwepa kodi na wanafahamika na kila mtu wanafanya hivyo lakini hayupo wa kuwafanya chochote waache wayasimamishe mapya tu, tuendelee kufungua nchi.
Kama unajua mipango wanafanya na wewe si ufanye upate hela uache majunguHayo maghorofa yanayojengwa ni pesa zilizofunguka Toka serikali. Mfumo wa pesa umeshashafunguka tayari Kwa wajanja wa mjini kumbuka miaka Ile ya zamani watu walikuwa wananunua nyumba za kawaida wanavunja na wanajenga maghorofa lkn sikuhizi utakuta ghorofa 7 inavunjwa inajengwa upya kisiasa zaidi..
Nipo kariakoo zaidi ya miaka 10 najua mipango mingi watu wanafanya
ila arusha ile stand ni aibu kwa jijiLast time nilikuwa Arusha pale town karibu na stand nao wanafanya kitu kama hiko
uko mkoani nini kiongoziTupieni na picha tuone huo ujenzi.
Tozo zetu hizo jamaniHayo maghorofa yanayojengwa ni pesa zilizofunguka Toka serikali. Mfumo wa pesa umeshashafunguka tayari Kwa wajanja wa mjini kumbuka miaka Ile ya zamani watu walikuwa wananunua nyumba za kawaida wanavunja na wanajenga maghorofa lkn sikuhizi utakuta ghorofa 7 inavunjwa inajengwa upya kisiasa zaidi..
Nipo kariakoo zaidi ya miaka 10 najua mipango mingi watu wanafanya
Sasa kama inasemekana wanasiasa ndio wanatupiga, kwa nini wasiwekeze kwenye viwanda kwa sababu wao ndio watunga sera?Kiwanda kinaprosess nying sanaa
Kwa ukubwa wa viwanja vya kkoo hauwezi weka parkingWajenge na parking za magari
Hata hapa mbeya soko matola wananunua maghorofa chakavu na wanajengo mapya ya floor 15+Last time nilikuwa Arusha pale town karibu na stand nao wanafanya kitu kama hiko